Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Ndio maana nikakuambia wewe ni mgonjwa wa akili[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] MALIZA SEMINA KWANZA UJE USHINDANE NA WANAUME HUMU NDANI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana nikakuambia wewe ni mgonjwa wa akili[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] MALIZA SEMINA KWANZA UJE USHINDANE NA WANAUME HUMU NDANI.
Tulia ww fala. Tulikwambia ngoma ya watoto haikeshiIEBC wamefeli sana kwenye hili zoezi. Sasa hivi wanasema wanataka kutangaza raisi ikiwa wao hawajamaliza kujumuisha matokeo, ndio kwanza wapo 25%. Sasa watatangaza mshindi kwa matokeo ya wapi? Au Yale yaliyokuwa nayarushwa na media? Si waliyapiga stop?
Bora NEC mara mia kuliko hawa ambao hawajui hadi sasa wanasimamia nini. Kama mna mshindi wenu basi fanyeni wazi kuwa mna mshindi wenu kuliko hivi vituko
Wateule wa Azimio tu!,ataka kuwaambia nini.Kama kwamba ataka kuwapoza wakubali matokeo.Hiyo si kazi nzuri.Duuuh ngoja tuone mwisho wa hizi mambo
View attachment 2322924
well spoken! as a matter of fact, there is absolutely no any one who can rightly claim to speak or write perfectly correct English!! We better be proud of our native languages and Swahili language.why are you wasting your time to defend?! after all English is not your language/native.
speak kiswahili or kikuyu.
we all speak and write broken english b'cs we'r not native
Ofcourse this is what Kenyans fail! they tend to keep English language as their Native language while they speak and write broken Engl! on top of that English is spoken more in Nairob and Mombasa to some areas!well spoken! as a matter of fact, there is absolutely no any one who can rightly claim to speak or write perfectly correct English!! We better be proud of our native languages and Swahili language.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] presha kwa kipi??Pole anza kunywa maji mengi presha iko kwa njia.
Huenda anajua kila kitu, yeye ndo mshindi na ikulu apelekwe.
KUMEKUCHAAAAA WA TZ BADO MNATAKA KUJIFUNZAAA ?
Nani aliiamini ilani ya mapolisi na tume ya uchguzi + wakurugenzi+mwendazake+ndugai+mahera??Ha ha haaaa! Mwalimu wangu wa twuisheni hapa JF unaniangusha ujue.
Mimi ni Pro-Tanzania. Nadhani hili unalijua. Tanzania Salama inahitaji majirani wenye amani. Huu ndiyo msingi wangu katika kuhakikisha kwa kadri ninavyoweza Tanzania inaendelea kuwa salama na ina amani.
Masuala ya vyama ni mambo ambayo yapo wazi. CCM ndiyo inaongaza nchi yetu Tanzania chini ya Mwenyekiti wa chama Mama Samia Suluhu Hassan. Watanzania waliimini ilani ya CCM ya mwaka 2020 ndiyo maana walikiweka chama Hiki madarakani.
Kwa hiyo, sisi raia hatuna namna nyingine zaidi ya kutekeleza maelekezo yaliyomi kwenye ilani hiyo kupitia Serikali yetu ya Sasa.
KUMEKUCHAAAAA WA TZ BADO MNATAKA KUJIFUNZAAA ?
Kwamba wasimpigie kura kisa mwanamke?? Karua alichaguliwa sababu ni mpinga ufisadi wa miaka mingi na Hilo liko wazi kingine ni kutoka kabila kubwa la Wakikuyu. Hayo ya uanamke Wala haikua priority ya kuteuliwa kwake.Raila Odinga kuweka mgombea mwenza mwanamke inaweza kumponza wakenya si wanatuona Huku na huyu mama yao CCM tunavyojikanyaga kwa mama msaliti wa sera za jiwe
Mi nafkiri hazina ideology. Ni mara chache sana hutokea kwa mpinzani wa ideology yavchama fulani kuhamia chama chenye ideology nyingine. Ila wakenya huwaza madaraka na kutimiza ndoto za kihistoria pasi na kujali msingi wa ideology inayoongoza chama fulani. Ama wote wapo ktk ideology moja?Siasa za Kenya hazina adui wala rafiki wa milele
2002-Kibaki & Raila vs Uhuru & Ruto
2007-Kibaki & Uhuru vs Raila & Ruto
2013-Uhuru & Ruto vs Raila
2022-Uhuru & Raila vs Ruto
Coca upo wp uje unywe beer umempambania kweli RailaHuenda anajua kila kitu, yeye ndo mshindi na ikulu apelekwe.
Ruto asubiri kwanza.
mimi kama mkenya wacha nikusaidie kidogoIEBC wamefeli sana kwenye hili zoezi. Sasa hivi wanasema wanataka kutangaza raisi ikiwa wao hawajamaliza kujumuisha matokeo, ndio kwanza wapo 25%. Sasa watatangaza mshindi kwa matokeo ya wapi? Au Yale yaliyokuwa nayarushwa na media? Si waliyapiga stop?
Bora NEC mara mia kuliko hawa ambao hawajui hadi sasa wanasimamia nini. Kama mna mshindi wenu basi fanyeni wazi kuwa mna mshindi wenu kuliko hivi vituko
Matokeo ya lini? Uchaguzi mpya? Watanzania nikisema akili hatuna ni kwa sababu ya watu kama wewe, eti Breaking News, Watanzania tuna ujinga wa kutishaBREAKING: RAILA ANAONGOZA KURA MAJIMBO 43 KATI YA 291 YALIYOTANGAZWA /
RAILA LEADS IN 43 CONSTITUENCY'S OUT 291
OFFICIAL RESULTS KENYA ELECTIONS 2022 BY THE IEBC
MATOKEO RASMI UCHAGUZI MKUU KENYA 2022 KUTOKA TUME YA UCHAGUZI ( IEBC)
Saturday August 13,2022
11:52 am
°WILLIAM RUTO
817,459 Votes. (38.47%)
°RAILA ODINGA
1,294,919 Votes
(60.93%)
°GEORGE WAJACKOYAH
8,467 Votes. (0.40%)
°DAVID WAIHIGA
4,352 Votes ( 0.20%)
Total votes tallied - 2,125,197
Constituencies reporting
43 of 291
The winner of presidential elections needs 50% + 1 of the valid votes cast and at least 25% votes in more than 24 counties