Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
mimi kama mkenya wacha nikusaidie kidogo
iebc inazimba all the loopholes za anybody kwenda kotini.to be sure they are comparing all the uploaded softcopies with the hardcopies kama kuna dosari.also the supreme was very clear in last election ruling that only hard copy not soft copy can call an election so lazima wangoje zote zifike They know the winner but only following rule of law.
Umemaliza yote.
 
BREAKING: RAILA ANAONGOZA KURA MAJIMBO 43 KATI YA 291 YALIYOTANGAZWA /

RAILA LEADS IN 43 CONSTITUENCY'S OUT 291

OFFICIAL RESULTS KENYA ELECTIONS 2022 BY THE IEBC

MATOKEO RASMI UCHAGUZI MKUU KENYA 2022 KUTOKA TUME YA UCHAGUZI ( IEBC)

Saturday August 13,2022
11:52 am

°WILLIAM RUTO

817,459 Votes. (38.47%)

°RAILA ODINGA
1,294,919 Votes
(60.93%)

°GEORGE WAJACKOYAH

8,467 Votes. (0.40%)

°DAVID WAIHIGA

4,352 Votes ( 0.20%)

Total votes tallied - 2,125,197
Constituencies reporting
43 of 291

The winner of presidential elections needs 50% + 1 of the valid votes cast and at least 25% votes in more than 24 counties
Mjinga una kurupuka kutoka usingizini na post za kijinga hizi, kabla hujapost pitia pitia plat form mbali mbali angalia mwenebdo wa uchaguzi na nini kinaendelea kwa sasa na sio kupost ujinga
 
Huyu mzee siku moja KENYA imjengee sanam pale katikati ya jiji la Kenya, hakuna kipindi kigum anakipitia mpaka mda huu ikiwa ni pamoja na
1.vitisho
2.ushawishi hata pesa ndefu
3.wenda tangu uchaguzi kuanza hata kwakwe hajakanyaga, yani unakuta bed man,man bed, mswaki pale ,sabuni ya kuoga pale ,chakula anakula KWa ratiba mahalum na umakini wa wajuu Sana, na WENDA halipo haondoki Yuko pale na walinzi wa wakutosha yani , Mungu amlinde huyu mzee na kumpa maisha marefu, bila kujali nani Rais ajae na imekua ,asema Bwana
Amen!
 
Kutoka kwenye vyanzo vya Wakenya, wanasema haya ndiyo matokeo ya Urais Kenya. Wenye macho hebu tusaidiane kusoma majina (pale juu chini ya asilimia).
Vyanzo vipi? Ingia Porral ya tume ya uchaguzi kule wana kila kitu jumlisha utajua nani mashindi, kuna forma 34A iko pale.
 
mimi kama mkenya wacha nikusaidie kidogo
iebc inazimba all the loopholes za anybody kwenda kotini.to be sure they are comparing all the uploaded softcopies with the hardcopies kama kuna dosari.also the supreme was very clear in last election ruling that only hard copy not soft copy can call an election so lazima wangoje zote zifike They know the winner but only following rule of law.
Na kama hard copy hazikufika kwa namna yoyote ile itakuwaje ?
 
Si kigezo ndio Jpo ni indicator piah. Tisa kumi ruto kashashinda Huo ndo ukweli na Muda utaongea tu kama watazingatia matakwa ya wananchi. Hta viongoz wengine wa azimio wanataka viongoz wao wakuu wakubali kushindwa.
Wewe acha uongo keshashinda wapi, wewe uko hapo Kwa Mtoro unaongelea kura ya Kenya wakati vituo vya runinga vilifanya majumuisho hadi milioni karibu 13 na kila moja aliongoza ktk kituo kimoja na mwingine kingine.

Kura takribani milioni moja na ushei vituo havikujumlishwa baada ya kuzuiwa na IEBC ambao ndio sasa wanafanya majumuisho na ndio wana majimbo karibu 60 kati ya 290 sasa wewe huyo unayemsema ameshindia wapi na ametangazwa na tume ipi. Acheni porojo bwana.
 
Kinachoendelea Kenya ni kujumlisha kura upya, Kitu ambacho ni ajabu Kwa kwwli. Naona Unec Wetu Huku tz, unaenda kuwakumba ndugu zëtu Kenya. Kila la heri Kwa kwwli.
Hauelewi kinachoendelea afadhali utulie unyamaze tu.

Kila kituo kikimaliza kuhesabu kura kinapiga picha hio fomu ya matokeo na kutuma Nairobi.. Ikituma Nairobi vyombo vya habari na wanasiasa wanaziona na wanaeza kujumlisha wenyewe. Hichi ndo kimekua kikifanyika.

Lakini IEBC kutangaza mshindi ni lazima form zote original zisafirishwe hadi Nairobi na kukaguliwa kwamba kweli ni zile form zilizopigwa picha alafu ndo hesabu ya 'kikweli' itangazwe rasmi...

Kwahivyo hakuna 'hesabu mpya' inayofanywa hapa, IEBC tayari inajua mshindi ni nani, wanachofanya sahii ni ukaguzi wa form original kuhakikisha data iliotumwa mtandaoni inafanana na iliojazwa kwa form.

Hata we mwenyewe ukiwa na raslimali unaweza hesabu matokeo yote mwenyewe ukitaka (hili halijawahi tokea hapa Africa) enda kwa hii tovuti https://forms.iebc.or.ke/#/ utapa form zote na unaweza jumlisha kivyako, kwa mfano naeza kwambia tafuta kura za diaspora ndo ni kidogo download na uanze kupiga hesabu alafu baadae utuambie kama hesabu hio itakua imetofautiana na ile ambayo iebc itatangaza rasmi..
 
Kila kituo kikimaliza kuhesabu kura kinapiga picha hio fomu ya matokeo na kutuma Nairobi.. Ikituma Nairobi vyombo vya habari na wanasiasa wanaziona na wanaeza kujumlidha wenyewe. Hichi ndo kimekua kikifanyika.

Lakini IEBC kutangaza mshindi ni lazima form zote original zisafirishwe hadi Nairobi na kukaguliwa kwamba kweli ni zile form zilizopigwa picha alafu ndo hesabu ya 'kikweli' itangazwe rasmi...

Kwahivyo hakuna 'hesabu mpya' inayofanywa hapa, IEBC tayari inajua mshindi ni nani, wanachofanya sahii ni ukaguzi wa form original kuhakikisha data iliotumwa mtandaoni inafanana na iliojazwa kwa form.

Hata we mwenyewe ukiwa na raslimali unaweza hesabu matokeo yote mwenyewe ukitaka (hili halijawahi tokea hapa Africa) enda kwa hii tovuti https://forms.iebc.or.ke/#/ utapa form zote na unaweza jumlisha kivyako, tafuta kura za diaspora ndo ni kidogo download na uanze kupiga hesabu alafu baadae utuambie kama hesabu hio itakua imetofautiana na ile ambayo iebc itatangaza rasmi..
mwamba umeelezea vizuri sana.NI HIVYO
 
Hauelewi kinachoendelea afadhali utulie unyamaze tu.

Kila kituo kikimaliza kuhesabu kura kinapiga picha hio fomu ya matokeo na kutuma Nairobi.. Ikituma Nairobi vyombo vya habari na wanasiasa wanaziona na wanaeza kujumlisha wenyewe. Hichi ndo kimekua kikifanyika.

Lakini IEBC kutangaza mshindi ni lazima form zote original zisafirishwe hadi Nairobi na kukaguliwa kwamba kweli ni zile form zilizopigwa picha alafu ndo hesabu ya 'kikweli' itangazwe rasmi...

Kwahivyo hakuna 'hesabu mpya' inayofanywa hapa, IEBC tayari inajua mshindi ni nani, wanachofanya sahii ni ukaguzi wa form original kuhakikisha data iliotumwa mtandaoni inafanana na iliojazwa kwa form.

Hata we mwenyewe ukiwa na raslimali unaweza hesabu matokeo yote mwenyewe ukitaka (hili halijawahi tokea hapa Africa) enda kwa hii tovuti https://forms.iebc.or.ke/#/ utapa form zote na unaweza jumlisha kivyako, kwa mfano naeza kwambia tafuta kura za diaspora ndo ni kidogo download na uanze kupiga hesabu alafu baadae utuambie kama hesabu hio itakua imetofautiana na ile ambayo iebc itatangaza rasmi..
Nimekupata mkuu, ila Kwa Zama hizi siku ya Tano hii Leo uhakiki tu, vituo 46000 tu, we huon kama matokeo yanatolewa upya hiv
 
Hauelewi kinachoendelea afadhali utulie unyamaze tu.

Kila kituo kikimaliza kuhesabu kura kinapiga picha hio fomu ya matokeo na kutuma Nairobi.. Ikituma Nairobi vyombo vya habari na wanasiasa wanaziona na wanaeza kujumlisha wenyewe. Hichi ndo kimekua kikifanyika.

Lakini IEBC kutangaza mshindi ni lazima form zote original zisafirishwe hadi Nairobi na kukaguliwa kwamba kweli ni zile form zilizopigwa picha alafu ndo hesabu ya 'kikweli' itangazwe rasmi...

Kwahivyo hakuna 'hesabu mpya' inayofanywa hapa, IEBC tayari inajua mshindi ni nani, wanachofanya sahii ni ukaguzi wa form original kuhakikisha data iliotumwa mtandaoni inafanana na iliojazwa kwa form.

Hata we mwenyewe ukiwa na raslimali unaweza hesabu matokeo yote mwenyewe ukitaka (hili halijawahi tokea hapa Africa) enda kwa hii tovuti https://forms.iebc.or.ke/#/ utapa form zote na unaweza jumlisha kivyako, kwa mfano naeza kwambia tafuta kura za diaspora ndo ni kidogo download na uanze kupiga hesabu alafu baadae utuambie kama hesabu hio itakua imetofautiana na ile ambayo iebc itatangaza rasmi..
Sasa si ndio hivyo wanafanya verification ambayo ni inahusisha kujumlisha tena upya
 
Back
Top Bottom