Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Kuna nini Tena tujuze
Naona wadau wako kwenye mechi ya Simba na Yanga
Tumemaliza kazi huko mkuu now tupo na tuendelee mkuu 😂...

20220813_212320.jpg
 
Hadi watu wameopotea kwa huu Uzi!! Umekuwa hauna maana tena
 
Huenda katekwa na wajuaji.Kenya ni nchi ya mafia.Kumbuka kuna mtu wa tume ya uchaguzi alishawahi kuuwawa na kukatwa kidole kipindi cha chaguzi zilizopita[emoji848]
Hiyo ishu iliwaogopesha mno watu.
Baada ya uchaguzi wa 2020 hapa kwetu ambapo ilichukua siku tatu mpaka mshindi wa uraisi kutangazwa, nikawa naongea na rafiki yangu mtu wa programming. Nkamwambia namna ambavyo Tunaweza kutengeneza program ya kutuma matokeo kutoka ngazi ya kata na kupata matokeo yote kufikia saa sita usiku siku ya kura.
Jamaa akaniambia "Chris Msando aliuawa Kwa sababu hiyo".
 
Back
Top Bottom