Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Tusubir mkuu ruto kashashinda. Labda watengue
IEBC wamefeli sana kwenye hili zoezi. Sasa hivi wanasema wanataka kutangaza raisi ikiwa wao hawajamaliza kujumuisha matokeo, ndio kwanza wapo 25%. Sasa watatangaza mshindi kwa matokeo ya wapi? Au Yale yaliyokuwa nayarushwa na media? Si waliyapiga stop?

Bora NEC mara mia kuliko hawa ambao hawajui hadi sasa wanasimamia nini. Kama mna mshindi wenu basi fanyeni wazi kuwa mna mshindi wenu kuliko hivi vituko
 
Uj

Unahangaika ukiwa wapi mrembo?? Nije nikupe huyu mdudu anayenisumbua.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kiherehere na hujui lolote, bahati Mbaya unaowasemea hata hujawahi fika na wala huna hata rafiki kutoka huko kwamba atakupa update sahihi. Kuna Wakenya humu kibao na wala hawana kiherehere kama chako.

Sio kila kitu ni kuingiza ujinga wako.
 
Akili Yangu hahitaji Msaada wa mtu yoyote Ile mrembo. Endelea kunishobokea
 
Duuuh ngoja tuone mwisho wa hizi mambo
IMG-20220813-WA0015.jpg
 
Huyu mzee siku moja KENYA imjengee sanam pale katikati ya jiji la Kenya, hakuna kipindi kigum anakipitia mpaka mda huu ikiwa ni pamoja na
1.vitisho
2.ushawishi hata pesa ndefu
3.wenda tangu uchaguzi kuanza hata kwakwe hajakanyaga, yani unakuta bed man,man bed, mswaki pale ,sabuni ya kuoga pale ,chakula anakula KWa ratiba mahalum na umakini wa wajuu Sana, na WENDA halipo haondoki Yuko pale na walinzi wa wakutosha yani , Mungu amlinde huyu mzee na kumpa maisha marefu, bila kujali nani Rais ajae na imekua ,asema Bwana
 
KARANI wa Sensa, anamtishia mtu mwenye maisha yake mjini. Hii nchi uhuru umezidi sasa. Mmeshalipwa posho zenu kwanza?? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi niwe karani alafu kikaragosi kama wewe utakua nani?
 
why are you westing your time to defend?! after all English is not your language/native.
speak kiswahili or kikuyu.
we all speak and write broken english b'cs we'r not native
I agree english is not my mother tongue, however I am fluent and I had to make it clear
You wrote westing instead of wasting which is totally an honest mistake. I wrote something and everyone jumped on it, 🙂
 
Raila Odinga kuweka mgombea mwenza mwanamke inaweza kumponza wakenya si wanatuona Huku na huyu mama yao CCM tunavyojikanyaga kwa mama msaliti wa sera za jiwe
 
Huyu mzee siku moja KENYA imjengee sanam pale katikati ya jiji la Kenya, hakuna kipindi kigum anakipitia mpaka mda huu ikiwa ni pamoja na
1.vitisho
2.ushawishi hata pesa ndefu
3.wenda tangu uchaguzi kuanza hata kwakwe hajakanyaga, yani unakuta bed man,man bed, mswaki pale ,sabuni ya kuoga pale ,chakula anakula KWa ratiba mahalum na umakini wa wajuu Sana, na WENDA halipo haondoki Yuko pale na walinzi wa wakutosha yani , Mungu amlinde huyu mzee na kumpa maisha marefu, bila kujali nani Rais ajae na imekua ,asema Bwana
Ndio kazi aliyoichagua hio,akaze kalio kazi imalizike.
 
Nawakubali sana watu jamii ya Ruto, watata watata na wajanja wajanja, Huwa muda mwingi wako kimya lakini ni mabingwa wa kusukuma kete.

Hii vita ilikuwa kati ya Kenyata vs Ruto, wote watoto wa town, Odinga huu mziki wa Ruto peke yake hauwezi kabisa.
Huzaliwa wachache mkuu,na wapo ila fulsa ya kujulikana ndo huwa tabu, ila wapo
 
Back
Top Bottom