Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Kwamba Africa yetu udikteta? Ndo unaoupendelea?

Kwamba ashinde mwingine atangazwe mwingine kwako ndo unapendekeza?

Maana democrasia ni pamoja na uhuru wa watu kumchagua wamtakaye na huyo ndo awe kiongozi wao sio vinginevyo.
 
kweli nimekubali demokrasia ya nchi za ulaya haiwezi kuwa sawa na nchi zetu za kiafrika, haiwezekani na kamwe haitowezekana..

Nimejifunza kuwa katiba mpya sio mwarobaini, jambo la msingi ni UADILIFU.

Nkmejifunza kuwa teknolojia sio kila kitu kwa kuwa teknolojia bado inategemea uhusika wa watu/mtu , ndio maana matokeo ya Urais hadi leo bado hayajakamilika.
 
Kwamba Africa yetu udikteta? Ndo unaoupendelea?

Kwamba ashinde mwingine atangazwe mwingine kwako ndo unapendekeza?

Maana democrasia ni pamoja na uhuru wa watu kumchagua wamtakaye na huyo ndo awe kiongozi wao sio vinginevyo.
sinjawahi pendezwana pigo za ivo ila sisi waafrika tulio wengi tunapigo za kiwaki asee. Sasa unataka kuniambia delay yote ya nn hapo. Kuna viashiria vichache vinasadifu bao la mkono linataka kupigwa hapo.
 
IEBC wamefikisha 74% ya kuhesabu kura na Ruto yuko mbele kwa kura 600,000+ dhidi ya Odinga! Japo si nyingi ila naona Raila anachechemea mno huku Ruto akiwa 52.8% na Raila akiwa na 46.5%>
Yale hayakuwa ya IEBC ni Reuters na yameshatolewa na yenyewe, hayaonekani tena
IEBC hadi leo asubuhi walikuwa wamemaliza kuhesabu kama robo tu ya kura zote
Labda Jumatatu au Jumanne ndio watamaliza
 
WaLianza vizur wanakoelekea ni kubaya. Inaonekana uhuru hatak kumwachia nchi ruto na power inatumika kubwa kuzuia Hilo. Kwan kaz ya tume ni kutangaza matokeo hayo mengine waachie mahakama. Uhuru anataka kumuiga kibaki 2007, wakati moi 2002 kiroho safi alimwachia nchi kibaki japo Kuwa alikuwa Adui yake. Wakenya mnakaz na uhuru wenu Kwa kwwli. State machinery zipo kazin kuzuia ruto kushinda.
 
Wewe kunguni wa ccm mchonganishi sana
 
Mbona nimekuomba hunipei mrembo?
 
UPDATES

Kenyatta atakutana na viongozi wote wapya waliochaguliwa kutoka chama cha Azimio kuanzia saa saa 4 asubuhi.

Rais anatarajiwa kuzungumzia Matokeo ya Urais ambayo bado hayajawasilishwa kikamilifu na kutangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC.

Haya yanajiri saa chache baada ya Katibu wa Idara ya Habari ya Mgombea Raila Odinga, Dennis Onsarigo kueleza kuwa leo mchana, Azimio la Umoja litafanya kongamano na viongozi wake waliochaguliwa.
 
Huyu ruto vipi mbna mtulivu Sana anajiamini Sana. Wenzake kutwa kutapatapa
 
Nimepata info kutoka kisii huyu blood relative Rutto kashinda na kuna kasheshe matokeo ni ngumu kutangazwa hii ya kuconfirm forms manually ni kusukuma mda mbele zipite zile 7.

God forbide nia za wanasiasa God bless Kenya. No blood shed
siku 7 ikipita matokeo hayajatolewa nini kitafuata?
 
Wewe kunguni wa ccm mchonganishi sana
Kubali ukweli ,KWANZA unaemjibu hovyo anajua matusi ,Sasa unamchokoza muita kunguni why, anajua vizuri amekua akitoa up to date valid why kumuita kunguni? Nilisha msihi kuachana na matusi,je akikuanzishia nani atakua mchokozi?

Hivi vyeo ni vya kidunia tu ,kila mwenye nyama ataviacha tu,ila udongo ni Halali KWa kila binadam, bila kujali wewe ni nani, mengine ni mapambio ya dunia tu, so ukijua hilo.

Basi alieshinda apewe kombe , na maisha yaendelee
 
Yale hayakuwa ya IEBC ni Reuters na yameshatolewa na yenyewe, hayaonekani tena
IEBC hadi leo asubuhi walikuwa wamemaliza kuhesabu kama robo tu ya kura zote
Labda Jumatatu au Jumanne ndio watamaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…