Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Hadi watu wameopotea kwa huu Uzi!! Umekuwa hauna maana tena
 
Huenda katekwa na wajuaji.Kenya ni nchi ya mafia.Kumbuka kuna mtu wa tume ya uchaguzi alishawahi kuuwawa na kukatwa kidole kipindi cha chaguzi zilizopita[emoji848]
Hiyo ishu iliwaogopesha mno watu.
Baada ya uchaguzi wa 2020 hapa kwetu ambapo ilichukua siku tatu mpaka mshindi wa uraisi kutangazwa, nikawa naongea na rafiki yangu mtu wa programming. Nkamwambia namna ambavyo Tunaweza kutengeneza program ya kutuma matokeo kutoka ngazi ya kata na kupata matokeo yote kufikia saa sita usiku siku ya kura.
Jamaa akaniambia "Chris Msando aliuawa Kwa sababu hiyo".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…