Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Watu wa Raila wanaketa delay tactics katika verification pale BOMAS sasa unajiuliza watu wana support ya Rais fujo zanini?
Nafikiri Uhuru hatamuunga mkono jamaa kwenye kugomea matokeo
Ukizingatia Uhuru mwenyewe kwao wamemkataa kabisa Raila
 
Nimekupata mkuu, ila Kwa Zama hizi siku ya Tano hii Leo uhakiki tu, vituo 46000 tu, we huon kama matokeo yanatolewa upya hiv
Sasa hapa Tanzania tu ambapo uchaguzi wake waga ni feki lkn matokeo hutolewa hivyo hivyo ndani ya wiki.
 
 
Sio Africa Nzima,
Sema Universe nzima
BWANA HE RUTO AMESHINDA WAMPE KOMBE LAKE, HAKUNA CHA MAFUMBO HAPA, UHURU,UHURU , Nakuita Mara mbili , achana ana akili akina kikwete , Iyo nchi nchi ni Kenya Wala sio tz , afuta ufalme wa Mbingu wako mwenyewe

Mfano hata Kikwete akikushauri KWa Sasa haisaidii, ana umri sio chini ya 70, je ana huwakika wa kuona miaka mingine 70? Tatizo la huyu mzee ni tabasam ambalo lipo na unafiki mkubwa ndani yake.
Huyu mwamba mkionhea mawili la tatu liache, Uhuru simama achana na wanafiki
 
Napenda sana ujasiri mlionao wa kushauri kwa majirani maswala ya uchaguzi.Huu ujasiri mgeutumia na hapa kwetu kina Mahela wasingekuwa wanatuchezesha sindimba na wote tunakaa kimya tunabaki kulalama hapa JF
 
Kura elfu 10 kapokwa Ruto kapewa Odinga.

Felme zinaanza.
Yalaaleiyoooo njeree mtu wangu Sasa vipi Mbona kimya Kwanini tusipase sauti kwa mama atandase lami kutoka Sanya juu Hadi Longido? Ili Rais Ruto siku Moja akija kusuru Tansania anaserereka tu kwenye mkeka.

Ruto the president
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…