Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Matokeo yakitangazwa na RAO akachukua Nchi usi log off tafadhari,ukae hapa hapa tutakusaidia kuomboleza.Hahaha nafuatilia Sasa hivi. Ruto anaongoza Zaid. Raila hoi. Ruto tayari rais
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matokeo yakitangazwa na RAO akachukua Nchi usi log off tafadhari,ukae hapa hapa tutakusaidia kuomboleza.Hahaha nafuatilia Sasa hivi. Ruto anaongoza Zaid. Raila hoi. Ruto tayari rais
Matokeo yakitangazwa na RAO akachukua Nchi usi log off tafadhari,ukae hapa hapa tutakusaidia kuomboleza.
Uchaguzi wa 2010 au 2015 zilikuwa na kasoro, lakini unazifananisha na ule wa 2020?Kabla ya Mahela mbona tulikuwa tunachezeshwa Sindimba,uchaguzi 2015, 2010 alikuwa ni JPM pia? Uchaguzi wa 2005 je? Unashindwa kuliangalia tatizo kwa upana wake unakimbilia kupeleka hasira zako kwa mtu mmoja?
Dah!...watangaze tu matokeo sasaUpo sahihi,kwa sasa pande zote mbili zimeshacheza rafu za kutosha ndani ya huu muda wa Tume kuhakiki matokeo,hakuna tena kura halali hapo.
Zimekuwa ngapi ngapi huko?Hahaha nafuatilia Sasa hivi. Ruto anaongoza Zaid. Raila hoi. Ruto tayari rais
Mkuu naomba hii link
Sijawahi kumuelewa huyu ndugu yaani! Ni vile tu kwenye kundi la ati lazima wawepo wenye hekima na wajinga na wapumbavu.Yaan jamaa wewe unachosha sijui ndio nini unaona jf kama yako na sijui kwanin wamekuacha
Kule sport hakuna maana tena umejaza mimada yako ya kijinga unapost kila dakika
Wewe ndiyo unajitoa akili,kuna uchaguzi wowote ambao ulishakuwa fair? 2010 unasahau vipi jinsi Dr Slaa akiwa mgombea wa CDM alivyolalamika wazi kuibiwa kura zake? 2015 kina Nape mpaka wakawa wanatamba hadharani kupiga goal la mkono au umesahau? Unadhani kwaninj watu wanataka kuwe na Tume huru ya uchaguzi? Badala kuliangalia tatizo katika upana wake wewe unaelekeza matatizo yako kwa mtu mmoja.Sasa kama JPM ndiyo alikuwa tatizo katika uchaguzi si ameshakufa na tatizo limekwisha kuna haja gani sasa ya watu bado kuendelea kudai tume huru ya uchaguzi kama mawazo yako wewe ni kuona tatizo alikuwa JPM na si mfumo mzima wa jinsi uchaguzi unavyoendeshwa hapa kwetu.Uchaguzi wa 2010 au 2015 zilikuwa na kasoro, lakini unazifananisha na ule wa 2020?
Labda kama unajivua tu akili kumtetea Magufuli ama hujui ilivyokuwa
Muda ni mwalimu mzuri,uzuri ni kesho tu Chebukati anatangaza mshindi.
Unajivua akili kwa kuwa wewe ni mfuasi wa jiwe, nimesema chaguzi za 2010 na 2015 zote zilikuwa na dosari,Wewe ndiyo unajitoa akili,kuna uchaguzi wowote ambao ulishakuwa fair? 2010 unasahau vipi jinsi Dr Slaa akiwa mgombea wa CDM alivyolalamika wazi kuibiwa kura zake? 2015 kina Nape mpaka wakawa wanatamba hadharani kupiga goal la mkono au umesahau? Unadhani kwaninj watu wanataka kuwe na Tume huru ya uchaguzi? Badala kuliangalia tatizo katika upana wake wewe unaelekeza matatizo yako kwa mtu mmoja.Sasa kama JPM ndiyo alikuwa tatizo katika uchaguzi si ameshakufa na tatizo limekwisha kuna haja gani sasa ya watu bado kuendelea kudai tume huru ya uchaguzi kama mawazo yako wewe ni kuona tatizo alikuwa JPM na si mfumo mzima wa jinsi uchaguzi unavyoendeshwa hapa kwetu.
Umeshindwa kuleta nguvu ya hoja badala yake unaleta hoja ya nguvu. Hebu tujielekeze Kenya kwa walio na mfumo unaoeleweka wa uchaguzi na ndiyo maana wakatufanya tupige kambi hapa kufuatilia uchaguzi wao.Unajivua akili kwa kuwa wewe ni mfuasi wa jiwe, nimesema chaguzi za 2010 na 2015 zote zilikuwa na dosari,
Lakini uchaguzi wa 2020 sijui hata kama unafaa kuitwa uchaguzi, ni kama ule uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 ambao 70% ya wagombea wa upinzani walienguliwa kwa kutokujua kusoma
Imagine hata Samia mwenyewe alipopokea taarifa ya uchaguzi alikiri wapinzani hawakufanyiwa haki
Nadhani tunaongelea uchaguzi wa Kenya au nako kuna CCM?rafu zinachezwa na mabwabwa ya ccm yasiyoweza kupambana kwenye ground bila kuzuia mawakala na form za matokeo
Tunajua ni Ruto kashinda.Wameshasema matokeo ni kesho asubuhi mapema.
we wasema !Tunajua ni Ruto kashinda.
Ruto ndo kashinda hata vyombo vya habari mbalimbali duniani vimeshatangazawe wasema !
Mkuu take it easy, rest and take a sip of cold water while we are waiting for the komfameshen of President Ruto winWewe ndiyo unajitoa akili,kuna uchaguzi wowote ambao ulishakuwa fair? 2010 unasahau vipi jinsi Dr Slaa akiwa mgombea wa CDM alivyolalamika wazi kuibiwa kura zake? 2015 kina Nape mpaka wakawa wanatamba hadharani kupiga goal la mkono au umesahau? Unadhani kwaninj watu wanataka kuwe na Tume huru ya uchaguzi? Badala kuliangalia tatizo katika upana wake wewe unaelekeza matatizo yako kwa mtu mmoja.Sasa kama JPM ndiyo alikuwa tatizo katika uchaguzi si ameshakufa na tatizo limekwisha kuna haja gani sasa ya watu bado kuendelea kudai tume huru ya uchaguzi kama mawazo yako wewe ni kuona tatizo alikuwa JPM na si mfumo mzima wa jinsi uchaguzi unavyoendeshwa hapa kwetu.
Mkuu hii ni latest Ruto tayari kashashindawe wasema !