Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Akili huna! Jin la Jecha ulilijua mwaka gani? Kuna jina maarufu lililotokana na harakati za uchaguzi zaidi ya jina la Jecha?Uchaguzi wa 2010 au 2015 zilikuwa na kasoro, lakini unazifananisha na ule wa 2020?
Labda kama unajivua tu akili kumtetea Magufuli ama hujui ilivyokuwa