Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Uchaguzi wa 2010 au 2015 zilikuwa na kasoro, lakini unazifananisha na ule wa 2020?
Labda kama unajivua tu akili kumtetea Magufuli ama hujui ilivyokuwa
Akili huna! Jin la Jecha ulilijua mwaka gani? Kuna jina maarufu lililotokana na harakati za uchaguzi zaidi ya jina la Jecha?
 
MATOKEO MBASHARA

Mara ya mwisho kusasishwa: 08/14/2022, 21:09:21 EAT

Matokeo yanayongojewa kutoka IEBC

WagombeaKura

50.9%

William RutoMuungano wa Kenya KwanzaKura:6,902,417Takribani 25% ya kura za Kaunti36/47

48.5%

Raila OdingaMuungano wa Azimio la UmojaKura:6,578,011Takribani 25% ya kura za Kaunti37/47

0.4%

George WahackoyahChama cha RootsKura:59,407Takribani 25% ya kura za Kaunti0/47

0.2%

David MwaureChama cha AganoKura:31,328Takribani 25% ya kura za Kaunti0/47

Tazama kidogo
 
Wewe ndiyo unajitoa akili,kuna uchaguzi wowote ambao ulishakuwa fair? 2010 unasahau vipi jinsi Dr Slaa akiwa mgombea wa CDM alivyolalamika wazi kuibiwa kura zake? 2015 kina Nape mpaka wakawa wanatamba hadharani kupiga goal la mkono au umesahau? Unadhani kwaninj watu wanataka kuwe na Tume huru ya uchaguzi? Badala kuliangalia tatizo katika upana wake wewe unaelekeza matatizo yako kwa mtu mmoja.Sasa kama JPM ndiyo alikuwa tatizo katika uchaguzi si ameshakufa na tatizo limekwisha kuna haja gani sasa ya watu bado kuendelea kudai tume huru ya uchaguzi kama mawazo yako wewe ni kuona tatizo alikuwa JPM na si mfumo mzima wa jinsi uchaguzi unavyoendeshwa hapa kwetu.
Hata spunda alilalamika kuibiwa kura zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ya zamani. Ila Majibu ni Ruto kashinda au ngoma itakuwa hakuna aliyefikisha 50% na uchaguzi kurudiwa.
Kuna jambo ambalo nashindwa kukubali kabisa kwamba Ruto ndio mshindi.....

Watabiri waliona Raila atafia madarakani , matha atafata...then ndio aje Ruto.

Sasa inakuwaje Raila ashindwe? Au ndio yale ya Mkapa kuachiwa nafasi na kikwete?

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Hii ya zamani. Ila Majibu ni Ruto kashinda au ngoma itakuwa hakuna aliyefikisha 50% na uchaguzi kurudiwa.
Kuna kila dalili ya kushinda kwa Ruto.... Hizi ni Official IEBC Results as of now..

IMG_20220815_084414.jpg
 
Kuna jambo ambalo nashindwa kukubali kabisa kwamba Ruto ndio mshindi.....

Watabiri waliona Raila atafia madarakani , matha atafata...then ndio aje Ruto.

Sasa inakuwaje Raila ashindwe? Au ndio yale ya Mkapa kuachiwa nafasi na kikwete?

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Wewe na mimi tuna mtizamo sawa kabisa.Kuna watu hapa hasa Maghayo hawatoamini kile kinakwenda kutokea leo.
 
Akili huna! Jin la Jecha ulilijua mwaka gani? Kuna jina maarufu lililotokana na harakati za uchaguzi zaidi ya jina la Jecha?
Uchaguzi wa 2015 nimesema ulikuwa na dosari, hata hivyo ulikuwa na uwazi mkubwa na haki ukilinganisha na wa 2020 ambapo Magufuli kwa kujua unyama na aibu aliyofanya alizima mitandao yote
Tusijivue akili kwa mahaba, Magufuli aliharibu uchaguzi kuliko rais yoyote Tanzania
 
Unajivua akili kwa kuwa wewe ni mfuasi wa jiwe, nimesema chaguzi za 2010 na 2015 zote zilikuwa na dosari, wapinzani walipata haki zao kiasi

Lakini uchaguzi wa 2020 sijui hata kama unafaa kuitwa uchaguzi, ni kama ule uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 ambao 70ya wagombea wa upinzani walienguliwa kwa kutokujua kusoma
Ok
 
Ohh dear lord forbid. Ruto aliliaga kabisa kwenye maombi. Mungu hawezi kumuachia. Bro kubali baba yenu keshaangukia pua.
Sasa leo utamsaidia kulia zaidi.Tulia kwa TV uone number zinavyokwenda kubadirika kwa kasi.Walianza na stronghold za Ruto na ndizo zimewafanya muwe na matumaini,sasa hivi zinakuja za RAO.
 
Back
Top Bottom