Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Ambacho huwa kinanifurahisha Kenya,no Wananchi they don't care about Chama wenyewe wanaangalia Jina LA mgombea.
Chama kinaundwa miezi 7 au mwaka kabla ya uchaguzi na kinaibuka kidedea.Vilevile,hivyo vyama unakuta vinaungana katibu 3-5 na kuunda chama kimoja ,sasa huku Tanzania kila kiongozi was chama amejaa ubinafsi kuungana imekuwa tatizo.
Tz hakuna kitu kinaitwa uchaguz
Kuna uteuzi tu
Wenzetu mambo ya vyama walishatupa kule

Ova
 
Ambacho huwa kinanifurahisha Kenya,no Wananchi they don't care about Chama wenyewe wanaangalia Jina LA mgombea.
Chama kinaundwa miezi 7 au mwaka kabla ya uchaguzi na kinaibuka kidedea.Vilevile,hivyo vyama unakuta vinaungana katibu 3-5 na kuunda chama kimoja ,sasa huku Tanzania kila kiongozi was chama amejaa ubinafsi kuungana imekuwa tatizo.
Siyo ubinafs mkuu. CCM inatumia Dola wasiungane. Hata kuanzisha tu chama kipya CCM hawakubali.
 
Napenda sana ujasiri mlionao wa kushauri kwa majirani maswala ya uchaguzi.Huu ujasiri mgeutumia na hapa kwetu kina Mahela wasingekuwa wanatuchezesha sindimba na wote tunakaa kimya tunabaki kulalama hapa JF
Tunakuja 2025, ndugu Kama uchaguzi utafanyika , LAZIMA twende sawa ,atakae shinda kihalali tutamuunga mkono bila kujali ni wa chama GANI, binafsi Sina shida na chama chochote Kama kinashinda KWA haki
 
Attachments

  • Screenshot_20220815-112539.png
    Screenshot_20220815-112539.png
    61.4 KB · Views: 4
Back
Top Bottom