Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Heshima kwako mkuu. Niko hapa napumzika break kwenye kubeba boksi. Frankly speaking Raila akishinda nitazimia. Kamwe Tena sitakihusisha na ushabiki kwa mambo yasiyonihusu. Ila Ruto akitangazwa mshindi kutalipuka na shangwe ya hatariiii Hadi Hawa wazungu hapa watashanga.

Ila nimesikia tayari time imeshamjulisha mshindi wa uchaguzi na amekaribishwa bomasi. Am sure he is Ruto Samoei.
Rudisha hela ya Ruto we mzee😎😎😎😎
 
Hakika nakwambia kaa karibu na glass ya maji baridi ya kunywa.Chebukati anakwenda kukushangaza leo
 
Back
Top Bottom