mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Tz hakuna kitu kinaitwa uchaguzAmbacho huwa kinanifurahisha Kenya,no Wananchi they don't care about Chama wenyewe wanaangalia Jina LA mgombea.
Chama kinaundwa miezi 7 au mwaka kabla ya uchaguzi na kinaibuka kidedea.Vilevile,hivyo vyama unakuta vinaungana katibu 3-5 na kuunda chama kimoja ,sasa huku Tanzania kila kiongozi was chama amejaa ubinafsi kuungana imekuwa tatizo.
Kuna uteuzi tu
Wenzetu mambo ya vyama walishatupa kule
Ova