Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba ana mchango mkubwa sana kwa hiki tunachokiona leo. Bila Baba ,Moi angefia madarakani. Raila Odinga ana mchango mkubwa sana kwa demokrasia ya Kenya ilivyo leo.Kila la kheri Ruto...ila Baba will be remembered as the guru of Democracy.
Kumbuka Ruto ni Makamu wa Rais,na hats l convoy yake yote ni ile ya Serikali bado ni makamu wa Rais.Ruto kaja na ulinzi mkubwa. Zaidi ya Rais.
Sio kweli. Hakuna mgombea anayepigiwa simu labda Tz ambapo chaguzi ni kiini macho.Kwanza IEBC kabla ya kutangaza matokeo huwa wanampigia simu Alieshinda na walioshindwa. Hapa jinsi nilivyomuona Ruto inaonyesha kabisa yeye ndo kashinda.
Rais aliepo madarakani anapigiwa simu pia.Sio kweli. Hakuna mgombea anayepigiwa simu labda Tz ambapo chaguzi ni kiini macho.
Wote wanaenda pale hawana uhakika isipokuwa tu kama mjumbe wa tume hana kifua na ana mahaba na mgombea fulani anaweza kuvujisha siri.
Ungeniambia Rais aliyepo madarakani huenda akawa na taarifa za mshindi kupitia wasaidizi wake wa intelijensia.
Hata website IEBCTabasamu zito kabisa Kwa mfuga kuku
Pale kwenye majumuisho kuna wakala mkuu wa kila mgombea.Sio kweli. Hakuna mgombea anayepigiwa simu labda Tz ambapo chaguzi ni kiini macho.
Wote wanaenda pale hawana uhakika isipokuwa tu kama mjumbe wa tume hana kifua na ana mahaba na mgombea fulani anaweza kuvujisha siri.
Ungeniambia Rais aliyepo madarakani huenda akawa na taarifa za mshindi kupitia wasaidizi wake wa intelijensia.
Mna screenshot website uchwara kisa mna smart phoneHata website IEBCView attachment 2324474 yao updates iliishia hapa