Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Mkuu uwe unasoma vizuri maelezo na upate point inayoongelewa,kwani nani hajui kuwa Gideon Moi yupo Azimio kwa Raila??Gideoni Moi alikua Azimio toka mwanzo kabisa, ndio umejua jana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu uwe unasoma vizuri maelezo na upate point inayoongelewa,kwani nani hajui kuwa Gideon Moi yupo Azimio kwa Raila??Gideoni Moi alikua Azimio toka mwanzo kabisa, ndio umejua jana?
UCHAGUZI KENYA: Maafisa wa Tume wameitisha Kikao cha Dharura baada ya sintofahamu kutokea katika Ukumbi wa kuhakiki kura za Urais, baada ya Kompyuta kuingizwa ukumbini kinyume na Taratibu
Soma LIVE - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: Ruto na Odinga wanaendelea kuchuana vikali katika matokeo ya awali
#KenyaDecides2022
Daaaaah kenya wako vizuri japo wana ufisadi mkuubwa sana lakini nimependa jinsi walivyo, mpaka sasa hata wakenya hawajui raisi Wao ni nani, huku bongo tunajua mpaka chama kitakachoongoza mpaka 2095, tunajua raisi wa 2025 ni nani.
Kuna mpuuzi anasema raisi ataongoza mpaka achoke
Lissu alijaribu kabadilisha hali,lakini Watanzania hawakumpa mtikio.Daaaaah kenya wako vizuri japo wana ufisadi mkuubwa sana lakini nimependa jinsi walivyo, mpaka sasa hata wakenya hawajui raisi Wao ni nani, huku bongo tunajua mpaka chama kitakachoongoza mpaka 2095, tunajua raisi wa 2025 ni nani.
Kuna mpuuzi anasema raisi ataongoza mpaka achoke
Umenifanya nicheke sana!Daaaaah kenya wako vizuri japo wana ufisadi mkuubwa sana lakini nimependa jinsi walivyo, mpaka sasa hata wakenya hawajui raisi Wao ni nani, huku bongo tunajua mpaka chama kitakachoongoza mpaka 2095, tunajua raisi wa 2025 ni nani.
Kuna mpuuzi anasema raisi ataongoza mpaka achoke
Convoy ya RAO inajiandaa,Naona msafara wa Ruto kwenda BOMAS. Sijaona convoy ya Raila
Mbona wamechelewa sasa au ndiyo wa mwisho kuingia ukumbini ndiyo star of the show?Convoy ya RAO inajiandaa,
Yaani acha tu.Tanzania bado sana.Daaaaah kenya wako vizuri japo wana ufisadi mkuubwa sana lakini nimependa jinsi walivyo, mpaka sasa hata wakenya hawajui raisi Wao ni nani, huku bongo tunajua mpaka chama kitakachoongoza mpaka 2095, tunajua raisi wa 2025 ni nani.
Kuna mpuuzi anasema raisi ataongoza mpaka achoke
kisumu walishamaliza jana mkuu, ulikua wapi?
Nashawishika kuamini mwana wa Jaramogi tayari.Ni wachache sana watakuelewa hapa nikiwemo mimi.Wengi humu wanakwenda kupigwa na mshangao