Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Ruto hapewi nchi ....ifike sehemu tuamin hizi nchi za kiafrica Rais hachaguliwi na wananchi..na isitoshe hata kuongoza ni matakwa yao...ukienda tofauti nao basi haufiki popote...hata huko nyuma Raila hajawah shindwa ni vile tu mda wake haukufika...sasa mda wake ndio huu
Sio Nchi za Kiafrika tu ni Duniani kote.
 
20220810_130910.jpg
 
Ruto hapewi nchi ....ifike sehemu tuamin hizi nchi za kiafrica Rais hachaguliwi na wananchi..na isitoshe hata kuongoza ni matakwa yao...ukienda tofauti nao basi haufiki popote...hata huko nyuma Raila hajawah shindwa ni vile tu mda wake haukufika...sasa mda wake ndio huu
Ngoja tuone siasa za Africa zinabadilika au ni zile zile
 
Wa kwanza kipindi Moi anaachia madaraka .Uhuru aligombea kupitia KANU na akashindwa vibaya sana. Mwai Kibaki akashinda na ndo mwanzo wa KANU kufa.
Ukumbuke chama cha Odinga kiliungana na chama cha KANU na kuunda chama cha New KANU ambacho Odinga akachaguliwa kuwa Katibu wa Chama hicho.Baada ya Moi kumchagua Uhuru kuwa mgombea ndipo Odinga akajionfoa kwenye New KANU na kuungana na Mwai kibaki.
Chama cha KANU hakikufa mwaka ule ule kiliendelea kuongozwa na Uhuru Kenyatta,na baada ya Odinga kuungana na Mwai Kibaki ndio wakaweka makubaliano ya kugawana nafasi kama watashinda.
 
😂😂😂 kabisaa Trump
Jana Odinga aliongozana na Gideon Moi kule kanisani,Familia ambazo zilikuwa mahasimu hadi siku 1 kabla ya matokeo kutangazwa walikuwa wote halafu Leo uniambie kwamba Odinga hatakuwa Rais siwezi amini.Ingawaje Gedion Moi ameshindwa kutetea kiti chake cha ugovana kule kwake.
 
Gideon na chama chake ni sehemu ya AZIMIO, so washaungana na Raila hata kabla ya kampeni kupambana na Ruto
 
Ukumbuke chama cha Odinga kiliungana na chama cha KANU na kuunda chama cha New KANU ambacho Odinga akachaguliwa kuwa Katibu wa Chama hicho.Baada ya Moi kumchagua Uhuru kuwa mgombea ndipo Odinga akajionfoa kwenye New KANU na kuungana na Mwai kibaki.
Chama cha KANU hakikufa mwaka ule ule kiliendelea kuongozwa na Uhuru Kenyatta,na baada ya Odinga kuungana na Mwai Kibaki ndio wakaweka makubaliano ya kugawana nafasi kama watashinda.
Pia watu hawajui jambo lingine ya kwamba waasisi wa chama cha ODM cha Raila ni Ruto Uhuru Kenyatta na Raila mwenyewe.
 
By the way siasa za Kenya sometime ni za kifala haziwapi watu wengine fursa nje ya the system(inner circle ) wamefanya wengi mazuzu -ndio maana hata idadi ya watu kwenda Ku vote imepungua sana.toka mwaka 1990 zaidi ya miaka 30 watu ni walewale.
1.Raila Odinga
2.Mwai Kibaki
3.Uhuru Kenyatta
4.Kalanzo Musyoka
5.Moses Watengula
6.William Ruto
7.Musalia Mudavadi
 
Back
Top Bottom