Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwenye hizo kura 1.5 mil zilizobaki kutangaziwa je Ruto hapati chochote?Bado kama kura 1.5M tuu, kwa vyovyote vile inavyoonekana huu uchaguzi kutakuwa na duru ya 2.
Duh angalau tumepata kapicha kidogo hongera ndugu.
Mkuu faatilia vizuri.Watu wanadhani Kenyatta ni fala kuungana na Raila,Rails Odinga ndio chanzo kikuu cha upinzani Nchini Kenya-ukiona siasa ya Kenya imekaa kiasi hicho jua ni matunda 99% ya Odinga na Baba yake Oginga bila yeye Moi angefia madarakani.
Wanasiasa wote wakubwa wana emerge kutoka kwake,ukisikia migogoro ya kisiasa na machafuko Kenya sababu kubwa ni yeye.Ilikuwa Rais kwa Kenyatta kuungana tena na Raila kuzuia hayo machafuko.
Hebu fikiria Leo hii Kenyatta angeungana tena na Ruto against Raila-aiseee Kenya isingetawalika.
So,Uhuru alicheza kete nzuri sana kuepusha machafuko yoyote atakayeshindwa atakuwa hana nguvu ya kuanzidha vugu vugu.imagine ameshindwa Uhuru utafanya vurugu against nani huku umepata back up ya Serikali vilevile akishindwa Ruto atamganyia nani vurugu huku naye ni sehemu ya Seriakali.
walishatolea ufafanuzi kwa ni fake hawajatoa pongezi loloteKumbe Marekani alitangaza rais wakeView attachment 2324406
wanatangaza saa tisaSemeni sasa,nani kashinda??
Source wapi.Kumbe Marekani alitangaza rais wakeView attachment 2324406
Screenshot ya mchongo hiyo.. makinika... Rais ni Ruto na tallying zinasema hivoKumbe Marekani alitangaza rais wakeView attachment 2324406
Sura zao zinaonesha ushindi. Tuletee na za Raila
kisumu walishamaliza jana mkuu, ulikua wapi?Unajua kuna Count ya Kisumu peke yake inafuta hiyo gap?
Halafu wamama ndo wanawaweka makamu wao wenza.By the way siasa za Kenya sometime ni za kifala haziwapi watu wengine fursa nje ya the system(inner circle ) wamefanya wengi mazuzu -ndio maana hata idadi ya watu kwenda Ku vote imepungua sana.toka mwaka 1990 zaidi ya miaka 30 watu ni walewale.
1.Raila Odinga
2.Mwai Kibaki
3.Uhuru Kenyatta
4.Kalanzo Musyoka
5.Moses Watengula
6.William Ruto
7.Musalia Mudavadi
Gideoni Moi alikua Azimio toka mwanzo kabisa, ndio umejua jana?Jana Odinga aliongozana na Gideon Moi kule kanisani,Familia ambazo zilikuwa mahasimu hadi siku 1 kabla ya matokeo kutangazwa walikuwa wote halafu Leo uniambie kwamba Odinga hatakuwa Rais siwezi amini.Ingawaje Gedion Moi ameshindwa kutetea kiti chake cha ugovana kule kwake.
hawajui kitu hawa alafu wanajifanya wanaelewa kinachoendelea,.......Gideon na chama chake ni sehemu ya AZIMIO, so washaungana na Raila hata kabla ya kampeni kupambana na Ruto
Subiri saa tisa ndiyo utaelewakisumu walishamaliza jana mkuu, ulikua wapi?
Haaaaa haa siku hizi wanausingizia mwenge wa uhuru tena, hatari sana mzeewabongo kwa ramli chonganishi ni hatari sana.. ila wakija kwenye nchi yao wako kimyaaaaa..wazee wa kusingizia mwenge wa uhuru unatufanya kuwa mazuzu. hahah
Ni wachache sana watakuelewa hapa nikiwemo mimi.Wengi humu wanakwenda kupigwa na mshangaoKwa sherehe ninazoziona Kisumu muda huu,si bure kuna jambo wanalijua in advance. Naona mwana wa Jaramogi anaenda ikulu .