Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Kwanza IEBC kabla ya kutangaza matokeo huwa wanampigia simu Alieshinda na walioshindwa. Hapa jinsi nilivyomuona Ruto inaonyesha kabisa yeye ndo kashinda.
Sio kweli. Hakuna mgombea anayepigiwa simu labda Tz ambapo chaguzi ni kiini macho.

Wote wanaenda pale hawana uhakika isipokuwa tu kama mjumbe wa tume hana kifua na ana mahaba na mgombea fulani anaweza kuvujisha siri.

Ungeniambia Rais aliyepo madarakani huenda akawa na taarifa za mshindi kupitia wasaidizi wake wa intelijensia.
 
Rais aliepo madarakani anapigiwa simu pia.
 
Pale kwenye majumuisho kuna wakala mkuu wa kila mgombea.

Hivyo baada ya majumuisho wakala mkuu wa mgombea anampa status.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…