Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Acha ubishi wametangaza hapa tunasikia huo ndo utaratibu. Anapigiwa mshindi, mshindwa na rais wa jamhuri.Sio kweli. Hakuna mgombea anayepigiwa simu labda Tz ambapo chaguzi ni kiini macho.
Wote wanaenda pale hawana uhakika isipokwa tu kama mjumbe wa tume hana kifua na ana mahaba na mgombea fulani anaweza kuvujisha siri.
Ungeniambia Rais aliyepo madarakani huenda akawa na taarifa za mshindi kupitia wasaidizi wake wa intelijensia.
Uchwara hizo hizo ndiyo validMna screenshot website uchwara kisa mna smart phone
Haya mambo mazito mtu mkubwa wa ndani huwezi ongea ovyo.Sio kweli. Hakuna mgombea anayepigiwa simu labda Tz ambapo chaguzi ni kiini macho.
Wote wanaenda pale hawana uhakika isipokuwa tu kama mjumbe wa tume hana kifua na ana mahaba na mgombea fulani anaweza kuvujisha siri.
Ungeniambia Rais aliyepo madarakani huenda akawa na taarifa za mshindi kupitia wasaidizi wake wa intelijensia.
Atakuwa ametundikiwa dripMbona kama Raila haji hapa Bomas ?
Kwahiyo hiyo tofauti ya kura 5,000 tu ndo inakuaminisha kwamba Ruto ameshinda?Hata website IEBCView attachment 2324474 yao updates iliishia hapa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yote juu ya yote Rais wa Tanzania ni lazima kapewa matokeo na ili yatangazwe ni lazima aridhie ili kenya waendelee
sorey broo..huu ni utotoYote juu ya yote Rais wa Tanzania ni lazima kapewa matokeo na ili yatangazwe ni lazima aridhie ili kenya waendelee
Hawaruhusiwi mkuu kufanya hivyo. Mwenye mamlaka hayo ni mwenyekiti pekee wa tume.Pale kwenye majumuisho kuna wakala mkuu wa kila mgombea.
Hivyo baada ya majumuisho wakala mkuu wa mgombea anampa status.
Ila wajaluo si kawaida yao kusherekea misiba?Ni wachache sana watakuelewa hapa nikiwemo mimi.Wengi humu wanakwenda kupigwa na mshangao
NimeshawaambiaTutasema sanaaaaa ila mwisho ni kuwa hakuna aliyefikisha 50%+1 ya kura zote.
Hii ngoma inakwenda duru ya pili.
Tukutane baadae...!!
Sasa kama ni ivo hapo mbona habari zingekuwa zimetapakaa sana..Acha ubishi wametangaza hapa tunasikia huo ndo utaratibu. Anapigiwa mshindi, mshindwa na rais wa jamhuri.