Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Wakamwita Diamond lakini wapi ?Ila Ruto kilichompa ushindi ni kampeni zake alizofanya kuhusu purchasing power. Sasa hivi kila kitu kimepanda bei. Na Ruto aliahidi kuja na solutions ili hali hii ya uchumi isiwaumize wakenya
Eh kwa hiyo diamond alienda ili awambie wakenya wamchague odinga.....
Au alienda kuwaburudisha

Ova
 
Hawaruhusiwi mkuu kufanya hivyo. Mwenye mamlaka hayo ni mwenyekiti pekee wa tume.

Hao mawakala wanakuwa chini ya uangalizi na ulinzi mkubwa wasitoe siri za uchaguzi.

Hayo mambo tunayaelewa mkuu. Ingekuwa hivyo basi hakuna haja ya mwenyekiti kuwa na matokeo ya mwisho.
Hivi unadhani Raila na Ruto hawajui matokeao? Wameshayapata siku nyingi. Pia rais Kenyata ameshapewa taarifa siku nyingi
 
Hawaruhusiwi mkuu kufanya hivyo. Mwenye mamlaka hayo ni mwenyekiti pekee wa tume.

Hao mawakala wanakuwa chini ya uangalizi na ulinzi mkubwa wasitoe siri za uchaguzi.

Hayo mambo tunayaelewa mkuu. Ingekuwa hivyo basi hakuna haja ya mwenyekiti kuwa na matokeo ya mwisho.
Hivi unadhani Raila na Ruto hawajui matokeao? Wameshayapata siku nyingi. Pia rais Kenyata
Yaani mi hapa nimebanwa na haja nashindwa hata kwenda kuko.....halafu humu watu bado wanazunguka zunguka tu.
Soma maandiko ukutani. Ruto nadhani ndiye mshindi. Angalia hata msafara wake ulivyoingia. Na pia Raila nilimwona jana kanisani, sura tu inaonyesha alishajua kuwa ameshindwa.
 
Atachelewa kidogo, ikiwezekana endeleeni tu na mchakato
IMG-20220815-WA0039.jpg
 
Back
Top Bottom