Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Hustler
IMG-20220815-WA0040.jpg
 
hizi dini zililetwa ili kututuliza waafrika..mbona kwayaa tu wanasogeza muda mbele alaf wanatutuliza na kwaya...anewei yuko wapi mzee ..naskia wana usalama wanamlazimisha aje bomaas hataki..kasema wazungu wote humo ndani aibu ataificha wapi 😀😀😀
 
hizi dini zililetwa ili kututuliza waafrika..mbona kwayaa tu wanasogeza muda mbele alaf wanatutuliza na kwaya...anewei yuko wapi mzee ..naskia wana usalama wanamlazimisha aje bomaas hataki..kasema wazungu wote humo ndani aibu ataificha wapi [emoji3][emoji3][emoji3]
unawaibisha wazanzibar wewe.
Au huna chogo?[emoji1787]
 
hizi dini zililetwa ili kututuliza waafrika..mbona kwayaa tu wanasogeza muda mbele alaf wanatutuliza na kwaya...anewei yuko wapi mzee ..naskia wana usalama wanamlazimisha aje bomaas hataki..kasema wazungu wote humo ndani aibu ataificha wapi 😀😀😀
Mkuu nikukumbushe tuu...hii sio mara ya kwanza Raila kushiriki uchaguz wa kenya..legend haswa
 
Back
Top Bottom