Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Unazingua bossDaah Raila kashindwa Hadi namwonea huruma mzee wa watu
Tayari wametangaza??Daah Raila kashindwa Hadi namwonea huruma mzee wa watu
Mkuu kifo ni fumbo...unaweza tanguliwa ww, ukamuacha yyNa umri wa Raila ulivyoenda, huenda akafa kwa Ugonjwa wa moyo
Kijana una mahangaiko ww umeshapigwa back to back ama ni namna gani!!
Huezi kupeleka rais kwenye vurugu...acha Ruto apambane maana hapotezi kitu. Pia Ruto anatakiwa kukubali kushindwa palepale ndo maana amelazimika kuwepoOdinga aache utoto aende Bomas tumechoka kusikiliza kwaya.
TBC ni moja wa maafisa wa IEBC au?TBC wanasema Rais ni Raila Odinga...
unawaibisha wazanzibar wewe.hizi dini zililetwa ili kututuliza waafrika..mbona kwayaa tu wanasogeza muda mbele alaf wanatutuliza na kwaya...anewei yuko wapi mzee ..naskia wana usalama wanamlazimisha aje bomaas hataki..kasema wazungu wote humo ndani aibu ataificha wapi [emoji3][emoji3][emoji3]
Namaanisha wanachokiongea hapa ni pumba tupuuu...TBC ni moja wa maafisa wa IEBC au?
Mkuu nikukumbushe tuu...hii sio mara ya kwanza Raila kushiriki uchaguz wa kenya..legend haswahizi dini zililetwa ili kututuliza waafrika..mbona kwayaa tu wanasogeza muda mbele alaf wanatutuliza na kwaya...anewei yuko wapi mzee ..naskia wana usalama wanamlazimisha aje bomaas hataki..kasema wazungu wote humo ndani aibu ataificha wapi πππ