escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,473
- 2,868
kuna chaneli nyingi sana za kufuatilia lkn sio TBCTBC wanasema Rais ni Raila Odinga...
Kweli mkuu?Odinga kachukua inchi nyie wabongo ha ha ha ha
Hiyo simu anapigiwa na mwenyekiti wa tume au wakala wake ?Mpaka dakika hii mshindi anajijua maana walisema saa 14:30 atapigiwa simu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Am fakin scared I don't wanna die after 3 days.
Yesu mtu wangu usiniangushe kwa Ruto
hahahaha niletee rutooo...Wanawaibisha wazanzubar wewe.
Au huna chogo?[emoji1787]
Yesu kasha kuangusha TeyariAm fakin scared I don't wanna die after 3 days.
Yesu mtu wangu usiniangushe kwa Ruto
Wapumbavu sana hao jamaa,walisha panga kila kitu-huku tunaweza dhani kuna ushindani kumbe Hanna chochote.Hii movie wanaijua wote watatu Uhuru,Raila na Ruto
Dah!...Ruto Ameshinda Ntv Kenya inatangaza now
Unaangalia wapi?Huko Karen kwa office ya Raila mbona kuko busy sana, magari yanaelekea huko kwa wingi sana how?.
Inabidi tubalance, wote tukisikiliza sehemu moja unadhani tutazijuaje pumba za tbc?kuna chaneli nyingi sana za kufuatilia lkn sio TBC
Mawakili hao, wanajipanga kufungua kesi ya kushindwa.Huko Karen kwa office ya Raila mbona kuko busy sana, magari yanaelekea huko kwa wingi sana how?.
Mbona unamwandama sana?Daaah mzee baba Odinga kaukosa tena Uraisi