Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Mpaka dakika hii mshindi anajijua maana walisema saa 14:30 atapigiwa simu
Hata kabla ya hiyo saa. Ile siku ya kupiga kura, kesho yake kuna watu walikuwa wanajua. Maajenti wa kila kituo wanaruhusiwa kupiga picha fomu, hivyo chama kiki-organize kinaweza kukusanya matokeo kutoka kila kituo kwa simu kila baada ya kuhesabu. All in all, huu uchaguzi umefungua ukurasa mpya siyo kwa Kenya tu ila kwa Afrika Mashariki.
 
Sasa si mpk nchi fulani zikubali huu mfumo waliyoutumia wakenya

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…