General 9419
Member
- Jun 30, 2022
- 92
- 270
Watanzania wengi walikuwa wanataka Raila ashinde Uraisi kwa kumuonea huruma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usimwamini huyoAfadhali.. [emoji1]
Unaangalia wapi?
Mbn kaingia hapo muda tu yupoMwanangu wajackoyah yuko wapi muda huu akasikilizie matokeo huko bomas of kenya? Au naye amekubuli kushindwa? Ila alichangamsha kampeni sana, kila la kheri kwake.
Una moyo sana kuyaangalia hayo manyama.Hawa wachambuzi wa TBC wana-take sides mpaka aibu...
Wanadhani wakenya wana akili kama za kwetu? Wakenya wamewachoka vibaya mnooo, Uhuru na Odinga.Watanzania wengi walikuwa wanataka Raila ashinde Uraisi kwa kumuonea huruma
Hata kabla ya hiyo saa. Ile siku ya kupiga kura, kesho yake kuna watu walikuwa wanajua. Maajenti wa kila kituo wanaruhusiwa kupiga picha fomu, hivyo chama kiki-organize kinaweza kukusanya matokeo kutoka kila kituo kwa simu kila baada ya kuhesabu. All in all, huu uchaguzi umefungua ukurasa mpya siyo kwa Kenya tu ila kwa Afrika Mashariki.Mpaka dakika hii mshindi anajijua maana walisema saa 14:30 atapigiwa simu
baba unatuchanganya, nahamisha hamisha station za kenya kama mwehuu.. tulia basi mwanangu tusubiri kwa kutulia wewe kipchongeWatanzania wengi walikuwa wanataka Raila ashinde Uraisi kwa kumuonea huruma
Mwenyekiti.Hiyo simu anapigiwa na mwenyekiti wa tume au wakala wake ?
We ingia live YouTubeHuu uzi feki sana. Hakuna mwenye taarifa wote wana za kubumba. Wacha nikatafute televisheni
Mtu alie chokwa uwa ana kua na vote nyingi ivyo ??Wanadhani wakenya wana akili kama za kwetu? Wakenya wamewachoka vibaya mnooo, Uhuru na Odinga.
Sasa si mpk nchi fulani zikubali huu mfumo waliyoutumia wakenyaHata kabla ya hiyo saa. Ile siku ya kupiga kura, kesho yake kuna watu walikuwa wanajua. Maajenti wa kila kituo wanaruhusiwa kupiga picha fomu, hivyo chama kiki-organize kinaweza kukusanya matokeo kutoka kila kituo kwa simu kila baada ya kuhesabu. All in all, huu uchaguzi umefungua ukurasa mpya siyo kwa Kenya tu ila kwa Afrika Mashariki.
Nenda Citizen tv wapo live , mpaka sasa ojinga Hajashow up KWA bomasHuu uzi feki sana. Hakuna mwenye taarifa wote wana za kubumba. Wacha nikatafute televisheni
Wtz wengi ni waongo waongo. Wakweli tupo wachache sana hatuthaminikiHuu uzi feki sana. Hakuna mwenye taarifa wote wana za kubumba. Wacha nikatafute televisheni