msomi kutoka znz
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 650
- 2,962
Sasa kwann asiwape kama sheria yao inaruhusu?...sasa unadhani nani afaa kutupa updates kwa kile kinachoendelea kama kuna sintofahamu?Usitoe shutuma bila kujua mambo. Hali imekuwa hivyo kwa sababu Raila hajataka kutokea na maajenti wake wamesema ni wao wamemwambia asije ili kwanza wapitie fomu zote na waridhike kuwa hesabu ziko sawa. Hali ya Kenya siyo kama Tanzania makosa kidogo tu yanaweza kuzua vurugu kubwa. Tume inataka kusiwepo na tention yoyote wakati wa kutangaza kwani vurugu zinaweza kutokea.
Waambieni wamtangaze wanangoja nini sasa!!??Mpaka dakika hii Ruto ndio mshindi kila dalili zipo wazi.
😄😄 Namuona hapo pembeni James Orengo na miwani yake Kama wabogojo.
China huwa wana cha uchaguzi hivi?Hivi WaAfrica nasisi huwa tunaalikwa kwenye kutangaza matokeo ULAYA, AMERICA, CHINA nk?
China hawanaChina huwa wana cha uchaguzi hivi?
Kwani lazima kusaini sijataka kusaini mimi..Kufuatia Uchaguzi wa Kenya wa August 2022 ,leo tar 15/8/2022 tunataraji mshindi atangazwe lakini mpaka sasa kuna tetesi kwamba mgombea wa kiti cha urais Raila Odinga na jopo lake hawapatikani kwa ajili ya kutia saini matokeo .
yuko mwapi huyu mwamba ?
Mawakala wa Odinga hawataki kusaini matokeo ya mwishoKama chekubati hataki kutangaza basi ajitangaze yeye sasa ndio rais..