msomi kutoka znz
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 650
- 2,962
ok nimeona wapi kenya walikosea, kila kitu kuhusu uchaguzi wao ulikua vzuri, namna ya kupiga kura uwazi ule na kuonyesha kila event, wamebugi kipengele cha kutaka mwishoni wagombea wote kusaini form ya kukubali matokeo kisha ndo mshindi atangazwe. leo raila amegoma kusign zoezi haliendelei.