Ruto yupo BOMAS?Kufuatia Uchaguzi wa Kenya wa August 2022 ,leo tar 15/8/2022 tunataraji mshindi atangazwe lakini mpaka sasa kuna tetesi kwamba mgombea wa kiti cha urais Raila Odinga na jopo lake hawapatikani kwa ajili ya kutia saini matokeo.
yuko mwapi huyu mwamba?
Muda Sasa.Ruto yupo BOMAS?
Amevaa ila kila akiwaza kuja kumwambia Ruto hongera,anarudi kukaa tena
View attachment 2324593
basi keshajua ameshindaMuda Sasa.
Boma hakueleweki! Watu wanamaliza MB tu Chebukati hatokeiUpdates jamani kinaendelea nini Bomas?