Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Wanapiga Tu kwaya Ku buy time while negotiations zikiendelea.....
 
IMG-20220815-WA0054.jpg
 
Kufuatia Uchaguzi wa Kenya wa August 2022 ,leo tar 15/8/2022 tunataraji mshindi atangazwe lakini mpaka sasa kuna tetesi kwamba mgombea wa kiti cha urais Raila Odinga na jopo lake hawapatikani kwa ajili ya kutia saini matokeo.

yuko mwapi huyu mwamba?
Ruto yupo BOMAS?
 
Walishawahi kuzichapa hawa so wanaheshimiana...mpaka The Hague walishafika. Naona ni waangalifu kidogo!
 
Back
Top Bottom