Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Hiki si kipindi cha kufurahia Kenya kuingia katika matatizo ya kisiasa, tunachotakiwa pale ulipo kuomba Kwa Mungu wapite Salama kwenye uu mtihani ulio mbele yao.
Waombee ata Kwa dakika mmoja Munguwetu ni mwaminifu atasikia Maombi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…