Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Kusema kweli nilijua Odinga ndio atakuwa Rais, lakin Ruto ameonekana kuwa kipenzi cha wakenya wengi, kwa wengi wakiwa vijana.

Pakubwa alipokosea Odinga ni kwenye issue ga kubadirisha katiba ambayo ndio ilioenekana kuwa mkombozi wa waKenya.

Ruto the new president.
 
Umeongea nn?
 
Huu uchaguzi akili yangu unaniambia mshindi halali ni Ruto ila wanafanya janjajanja kumnyang'anya. Kutokana na ugumu wa kufanya hivyo ndio maana wanatengeneza drama nyingi zaidi angalau ionekane kuna dosari uchaguzi uende mara nyingine watajipanga kuuchezea mbeleni uko. Angekuwa Ruto kashindwa wangeshatangaza hata tangu jana.

Huyo mama Mkiti Msaidizi wa Tume aliwahi kuwa high ranking staff member wa mojawapo wa vigogo wa Azimio. Chebukati ni strong, hajaanza leo na ndio maana wanasheria fulani wa Kenya waligoma baadhi ya wahuni walipotaka abadilishwe kabla ya uchaguzi.

Mama yake Ruto kaondolewa Bomas kama watavunajana taya asiwepo.
Hao maafisa wa tume walioamua kususa wataigawa nchi wakiachwa kusambaza sumu.

Hayo ni madhara ya kuwa na wajumbe wa tume wanaoonyesha mahaba kwa upande fulani.
JokaKuu Mag3 zitto junior Pascal Mayalla
Tindo Nguruvi3
 
Kwa mchuano mkali kama huu wakenya wabadilishe katiba na kuwa na waziri mkuu ambaye atachaguliwa na wabunge na rais kuwa kama ceremonial leader. Ruto nampongeza ila naona ugumu anaokwenda kuupa kupitisha mambo yake bungeni na itakuwa ivo kama rais wengine wa kenya ambao watakuwa wanashinda kwa ushindi wa aina hii.
Hongera wakenya
 
Back
Top Bottom