Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Acha kuchochea ukabila weweWajaluo hawatakubali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuchochea ukabila weweWajaluo hawatakubali.
Ndio wakubali kukubali sasaWalishasema hawatakubali, kama ni haki yao au la mimi sijui.
Kenya idadi kubwa ni wakristoHivi Kenya mbona sioni masheikh wakipewa nafasi kuzungumza naona mapadri tu Kenya mbona wabaguzi sana
Umeongea nn?Kusema kweli nilijua Odinga ndio atakuwa Rais, lakin Ruto ameonekana kuwa kipenzi cha wakenya wengi, kwa wengi wakiwa vijana.
Pakubwa alipokosea Odinga ni kwenye issue ga kubadirisha katiba ambayo ndio ilioenekana kuwa mkombozi wa waKenya.
Ruto the new president.
Wapi nimechochea?Acha kuchochea ukabila wewe
Kenyatta sijui yupo kwenye Hali gani?
Siasa hizi! Hongera sana Hustler.
Kenya ni wahanga wa ugaidi. Walishaonja machungu ya ugaidi, hawataki tena mazoea.Hivi Kenya mbona sioni masheikh wakipewa nafasi kuzungumza naona mapadri tu Kenya mbona wabaguzi sana
Wapi nimechochea ukabila?Acha kuchochea ukabila wewe
Hao maafisa wa tume walioamua kususa wataigawa nchi wakiachwa kusambaza sumu.Huu uchaguzi akili yangu unaniambia mshindi halali ni Ruto ila wanafanya janjajanja kumnyang'anya. Kutokana na ugumu wa kufanya hivyo ndio maana wanatengeneza drama nyingi zaidi angalau ionekane kuna dosari uchaguzi uende mara nyingine watajipanga kuuchezea mbeleni uko. Angekuwa Ruto kashindwa wangeshatangaza hata tangu jana.
Huyo mama Mkiti Msaidizi wa Tume aliwahi kuwa high ranking staff member wa mojawapo wa vigogo wa Azimio. Chebukati ni strong, hajaanza leo na ndio maana wanasheria fulani wa Kenya waligoma baadhi ya wahuni walipotaka abadilishwe kabla ya uchaguzi.
Mama yake Ruto kaondolewa Bomas kama watavunajana taya asiwepo.
Sidhani!Nadhani huu ulikuwa mchongo wao UhuRuto, mzee Odinga alichanganywa.