Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
CCM mjifariji na kilichofanywa na IEBC, uwanja sasa uko wazi huku mshindi RUTO kwa 50.49%
 
Huu uchaguzi akili yangu inaniambia mshindi halali ni Ruto ila wanafanya janjajanja kumnyang'anya. Kutokana na ugumu wa kufanya hivyo ndio maana wanatengeneza drama nyingi zaidi angalau ionekane kuna dosari uchaguzi uende mara nyingine watajipanga kuuchezea mbeleni uko. Angekuwa Ruto kashindwa wangeshatangaza hata tangu jana.

Huyo mama Mkiti Msaidizi wa Tume aliwahi kuwa high ranking staff member wa mojawapo wa vigogo wa Azimio. Chebukati ni strong, hajaanza leo na ndio maana wanasheria fulani wa Kenya waligoma baadhi ya wahuni walipotaka abadilishwe kabla ya uchaguzi.

Mama yake Ruto kaondolewa Bomas kama watavunajana taya asiwepo.
 
Back
Top Bottom