Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Ila hii ngoma haijaisha amini kwamba. Kuna drama inaenda ku unfold hapa tulieni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni 50%+1Uchaguzi utaenda raundi ya pili.
Hamna. IEBC imesha declare Ruto kuwa mshindi.Uchaguzi utaenda raundi ya pili.
Kwani Urais ni Mali yao ?....wao ndio pekee walio na haki ya kuchagua Rais wa nchi ?Wajaluo hawatakubali.
Kuna kitu cha kujifunza kwa wenzetu, labda viongozi waamue tu kupotezea.Umeshindwa kuleta nguvu ya hoja badala yake unaleta hoja ya nguvu. Hebu tujielekeze Kenya kwa walio na mfumo unaoeleweka wa uchaguzi na ndiyo maana wakatufanya tupige kambi hapa kufuatilia uchaguzi wao.
Walishasema hawatakubali, kama ni haki yao au la mimi sijui.Kwani Urais ni Mali yao ?....wao ndio pekee walio na haki ya kuchagua Rais wa nchi ?