[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Auntie we ni mimi kabisa yaani nilikuwa upande wa Ruto hata sababu sina sijui na vile ako muhandsome kuliko babu
Ruto nae ni mhendisamu?Auntie we ni mimi kabisa yaani nilikuwa upande wa Ruto hata sababu sina sijui na vile ako muhandsome kuliko babu
Kongo DR ni shamba la bibi sema mimi na ww hatuna pesa chafu tungekuwa nazo saa hii tungekuwa PARIS tunagonga mvinyo huku tukituma transactions makamanda walio msituni wanatuchotea mali. Hatuna hela mkuuSina tatzo na ushindi wake kuna mtu amesema anamiliki hekta za mashamba ya mahindi Kongo najiulza anapata ujasiri wakumilik ardhi Kongo .
Wengi tulisema na hata sasa tunasema. Kama hujaona umuhimu wa hii tume kuwa huru basi wewe ni bongo lala.Nan Yule alisema tujifunze kutoka Kenya?
Ni Mhendisamu ndiyo.....Ruto nae ni mhendisamu?
Aisee kweli nimeamini beauty lies in the eyes of the beholder.
Mbona alimpigia kampeni? Huwezi kuzunguka kupiga kampeni kama hutaki huyo mtu ashinde. Kilichotokea nadhani kuwa walijiamini sana wakaona wanashinda.Kwamba mkuu unaamini kabisa kwa Afrika yetu hii unaweza kuwa na ugomvi na Rais na ukatoboa?
Kwamba Uhuru angekuwa hataki Wafula atangaze mshindi leo Wafula angefanikiwa kutangaza?
Kama ndivyo basi Uhuru na Jamhuri ya Kenya ni nembo ya utawala bora na darasa kwa Afrika nzima.
Nadhani watz kuna vitu hatuelewi kabisa 😀 Chebukati yumo kati ya watu wanaoweza kushitakiwa kwa mujibu wa katiba yao, hivyo hakuna anayetaka kurisk kazi yake kisa kumpa favour mtu mwingine!Wengi tulisema na hata sasa tunasema. Kama hujaona umuhimu wa hii tume kuwa huru basi wewe ni bongo lala.
☺️☺️Ruto n dhehebu gani?
Wavaa kobazi hawataniacha salama hapa.
Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
Unafiki wa wabongo tu na kutaka kujustify tume kutokumsikiliza Uhuru.Kwa nn tunatoa maoni ya uhuru na ruto kuwa ni marafiki baada ya matokeo kutangazwa ??!!why kabla!??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] naaam auntie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ako na look ya ki'gentleman siyo? Sawa.[emoji28]
Mbona alimpigia kampeni? Huwezi kuzunguka kupiga kampeni kama hutaki huyo mtu ashinde. Kilichotokea nadhani kuwa walijiamini sana wakaona wanashinda. Kenyatta ana base kubwa sana ya wapiga kura kutoka kabila lake la wakikuyu. Na pia Raila miaka yote ya uchaguzi anakuwa na wapigakura wengi sana. Kulichofanya ashindwe ni kuwa wakikuyu wengi wamemgeuka Kenyatta. Kwa hiyo juhudi za kuokoa jahazi zimekuja kufanyika too late.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tuachie muhandsome wetuRuto nae ni mhendisamu?
Aisee kweli nimeamini beauty lies in the eyes of the beholder.