Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Hata humo ndani ya Ccm msimamo kwa makada wake ni mtihani.

Upinzani wa Tz unakandamizwa na dola ndio maana unaonekana dhaifu hayo ya kukosa msimamo hayana uzito.
 
Watu tuliisha tabir siku nyingi William Samoe Arap Ruto ndie next president of kenya
Hongera kwa Wafula Wanyonyi Chebukati.
 
Yote kwa yote baada ya vita na kugalagazana je wananchi wanafaidika nini na hizi tamaduni zetu za uchaguzi wa kiafrika..zaidi mi naonaga wananchi wanabakia maskini tu. na kuendelea kusota na changamoto zao za maisha.Tuna nchi za ajabu sana afrika.
 
Hata humo ndani ya Ccm msimamo kwa makada wake ni mtihani.

Upinzani wa Tz unakandamizwa na dola ndio maana unaonekana dhaifu hayo ya kukosa msimamo hayana uzito.
Hayana uzito kwako ila hatuna upinzani wenye msimamo na kujiamini na ndio maana unafikia mpaka hagua ya kutokuamini watu wake.
 
Kuna wapuuzi walikuwa wanachambua kwenye television ya nchi Fulani hapa East Africa mpaka walikuwa wanamponda Sana Ruto yamewashuka mpaka aibu, mmoja akakimbia🤣🤣🤣🤣
Hata huko Kenya vituo vingi vilikuwa vinamshabikia Raila; sasa sijui itakuwaje.
 
Kushindwa kwa RAO si kwamba hakubaliki bali ni mpambano ulikuwa mkali sana na Rais Ruto. Ndio maana ukiangalia margin ni ndogo sana
 
Chanzo cha uadui wao mkubwa kiasi hicho ni nini?
 
Acha kumpamba huyo mkalenjin mbona 2007 walishindwa kilain na Kibaki?
 
BBI ilikataliwa na mahakama si Ruto
 
Tulisema toka mwanzo haya
 

Acha kumpamba huyo mkalenjin mbona 2007 walishindwa kilain na Kibaki?
We hujui siasa za Kenya yale maridhiano yalitokana na Nini. Pindi ile odinga alipaswa kuwa rais na alimshinda mwai kibaki lkn kibaki hakukubal kushindwa na akaiteka tumë ya uchaguz ikamtangaza yeye mshindi kibabe
 
Elewa basi,
Huyo alisema raisi akiamua jambo hakuna wa kukataa ndio nimemtolea mifano hiyo
Tulikuwa pamoja toka uzi uanzishwe tukiona ruto is the 5th. One love Sana.
Hiv data za ugavana, useneta na ubunge zipo viip kwenye azimio na Kenya kwanza
 


Wafula Chebukati Hongera Sana Umenyoosha Uamuzi Wa Wananchi Wa Kenya

Inatakiwa Namna Hiyo Nchi Nyingine Ziache Ujanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…