Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Hata humo ndani ya Ccm msimamo kwa makada wake ni mtihani.So kwa kuwa CCM imefanya mabovu kwa mda mrefu ,basi CHADEMA nae akifanya mabovu ni sawa sasa hayo mabadiliko yana hitajika ya nini wakati hamna utofauti na ndio maana 2015 zilikuwa zina shindana CCM A na CCM B.
Kutokupata support kusababishwa na wenyewe kwa kukosa kwao msimamo.
Upinzani wa Tz unakandamizwa na dola ndio maana unaonekana dhaifu hayo ya kukosa msimamo hayana uzito.