Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
So kwa kuwa CCM imefanya mabovu kwa mda mrefu ,basi CHADEMA nae akifanya mabovu ni sawa sasa hayo mabadiliko yana hitajika ya nini wakati hamna utofauti na ndio maana 2015 zilikuwa zina shindana CCM A na CCM B.

Kutokupata support kusababishwa na wenyewe kwa kukosa kwao msimamo.
Hata humo ndani ya Ccm msimamo kwa makada wake ni mtihani.

Upinzani wa Tz unakandamizwa na dola ndio maana unaonekana dhaifu hayo ya kukosa msimamo hayana uzito.
 
Watu tuliisha tabir siku nyingi William Samoe Arap Ruto ndie next president of kenya
Hongera kwa Wafula Wanyonyi Chebukati.
 
Yote kwa yote baada ya vita na kugalagazana je wananchi wanafaidika nini na hizi tamaduni zetu za uchaguzi wa kiafrika..zaidi mi naonaga wananchi wanabakia maskini tu. na kuendelea kusota na changamoto zao za maisha.Tuna nchi za ajabu sana afrika.
 
Hata humo ndani ya Ccm msimamo kwa makada wake ni mtihani.

Upinzani wa Tz unakandamizwa na dola ndio maana unaonekana dhaifu hayo ya kukosa msimamo hayana uzito.
Hayana uzito kwako ila hatuna upinzani wenye msimamo na kujiamini na ndio maana unafikia mpaka hagua ya kutokuamini watu wake.
 
Kuna wapuuzi walikuwa wanachambua kwenye television ya nchi Fulani hapa East Africa mpaka walikuwa wanamponda Sana Ruto yamewashuka mpaka aibu, mmoja akakimbia🤣🤣🤣🤣
Hata huko Kenya vituo vingi vilikuwa vinamshabikia Raila; sasa sijui itakuwaje.
 
Kushindwa kwa RAO si kwamba hakubaliki bali ni mpambano ulikuwa mkali sana na Rais Ruto. Ndio maana ukiangalia margin ni ndogo sana
 
Hapa umeanza kuelewa sasa.

Kenyatta hakutaka kabisa kumuachia ofisi Ruto, angeweza kumuunga mkono ruto wala usingekua ajabu kwa kuwa ni mtu na naibu wake. Ila kwa kuwa ealishakua maadui wakubwa, Kenyatta Mara nyingi tu alitafuta namna kumuondoa ruto, Ila akashindwa.

Kenyatta huyu na BBI yake mbona alishindwa, Kama kweli alikua na hizo nguvu kiasi hicho
Chanzo cha uadui wao mkubwa kiasi hicho ni nini?
 
Bosi unamfahamu Ruto?
Ukisikia hasla elewa ni hasla. Anaweza kuku injinia ushindi au anguko lako. Angalia historia yake ktk chaguzi za Kenya na upande anaokuwa yeye. Hebcan play dirty game. He can plan dirty, he knows dirty, dirty is his middle name. Na Nina shangaa Ruto ku act calm. Naamini alishajua mapema ushindi wake laiti angejua kuwa ameshinda then anafanyiwa rafu Ruto ange indirectly instigate problem
Acha kumpamba huyo mkalenjin mbona 2007 walishindwa kilain na Kibaki?
 
Hapa umeanza kuelewa sasa.

Kenyatta hakutaka kabisa kumuachia ofisi Ruto, angeweza kumuunga mkono ruto wala usingekua ajabu kwa kuwa ni mtu na naibu wake. Ila kwa kuwa ealishakua maadui wakubwa, Kenyatta Mara nyingi tu alitafuta namna kumuondoa ruto, Ila akashindwa.

Kenyatta huyu na BBI yake mbona alishindwa, Kama kweli alikua na hizo nguvu kiasi hicho
BBI ilikataliwa na mahakama si Ruto
 
Kusema kweli nilijua Odinga ndio atakuwa Rais, lakin Ruto ameonekana kuwa kipenzi cha wakenya wengi, kwa wengi wakiwa vijana.

Pakubwa alipokosea Odinga ni kwenye issue ga kubadirisha katiba ambayo ndio ilioenekana kuwa mkombozi wa waKenya.

Ruto the new president.
Tulisema toka mwanzo haya
 
Kwamba mkuu na wewe unaamini kabisa Rais wa Nchi anaweza kuamua kukuua na akashindwa? Ukiwa unaishi hapo nchini?

Vipi nikikwambia hayo yalikuwa makubaliano ili kupata huruma ya wapiga kura na umeona mafanikio yake?😂

Kuhusu Edgar Lungu mkuu,hebu tofautisha kati ya mtu kuwa mpinzani wako kisiasa na
Kwa mchuano mkali kama huu wakenya wabadilishe katiba na kuwa na waziri mkuu ambaye atachaguliwa na wabunge na rais kuwa kama ceremonial leader. Ruto nampongeza ila naona ugumu anaokwenda kuupa kupitisha mambo yake bungeni na itakuwa ivo kama rais wengine wa kenya ambao watakuwa wanashinda kwa ushindi wa aina hii.
Hongera wakenya

Acha kumpamba huyo mkalenjin mbona 2007 walishindwa kilain na Kibaki?
We hujui siasa za Kenya yale maridhiano yalitokana na Nini. Pindi ile odinga alipaswa kuwa rais na alimshinda mwai kibaki lkn kibaki hakukubal kushindwa na akaiteka tumë ya uchaguz ikamtangaza yeye mshindi kibabe
 
Elewa basi,
Huyo alisema raisi akiamua jambo hakuna wa kukataa ndio nimemtolea mifano hiyo
Tulikuwa pamoja toka uzi uanzishwe tukiona ruto is the 5th. One love Sana.
Hiv data za ugavana, useneta na ubunge zipo viip kwenye azimio na Kenya kwanza
 


Wafula Chebukati Hongera Sana Umenyoosha Uamuzi Wa Wananchi Wa Kenya

Inatakiwa Namna Hiyo Nchi Nyingine Ziache Ujanja
 
Back
Top Bottom