Pole sana mkuuRuto anashinda,dunia sasa inakamatwa na watu wenye hofu ya Mungu.muda wa wahuni kushika nafasi nyeti umeisha
Mjiandae kwa mabadiliko
Lakini wewe si umesema tayari 90% tayari na Ruto kashinda?Kwa nn? Mchezo upo kwenye system au unafikiri unapoona matokeo live basi kila kitu kipo sawa nyuma ya pazia?
Yan hata ukishindwa unaona kabisaa..Watu wanakabana koo mwanzo mwisho.
Wacha kelele weweMchezo mchafu wa deep state. Wake ya msikubali.
Sema Mzee kapambana miaka mingi sana at least aongoze hata muhura mmoja tu utamtosha sana ukizingatia umri umesonga.Atapata next time,umri bado unamruhusu.Hata wenzie wamepoteza mara kibao huko nyuma
Hivi unafananisha ule upumbavu na huu uchaguz wa kenyadeep state sio watu mzee,,,Lowasa walimfanya kama hivi walitangaza kwa fujo kura za kaskazini akawa anaongoza walipomaliza,wakahamia Lake zone ngome ya chama na serikali shughuli ikaishia huko.mpaka leo mzee hana hamu.[emoji23][emoji28]
Ruto kimemkuta kitu cha namna hiyo[emoji115]
Team #Odinga tunaendelea kuwanyoonsha na bado mtalalamika sana ..Mchezo mchafu wa deep state. Wake ya msikubali.
Tulia mgeresi Ruto atarudi kutembeza moto..Fakin deep state trying to rigg the elekshen
hustler kafanyiwa kitu moja mbaya sana.aiwezekaniki Odinga kufanya comeback ya kasi na kura nyingi namna hii tena kwa muda mfupi within dakika 45 tu na anaongoza kwa kura!Mchezo mchafu wa deep state. Wake ya msikubali.
Tupe matokeo uliyonayoNilichogundua hapa hawa citizen wapo nyuma
Ulivyokuwa unajifanya mjuaji sasa hivi unaona aibu unarudi na kauli za kujiona aibu unarudisha chini mkia kama mbwaSema Mzee kapambana miaka mingi sana at least aongoze hata muhura mmoja tu utamtosha sana ukizingatia umri umesonga.