Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
bado mapema sana yaani kati ya kura elfu 46 ni kura elfu 12 tu ndo zilizowasilishwa kwahio hata nusu haijafika zikishahesabiwa angalau efu 25 mpk 30 ndo tunaweza kuona muelekeo ukoje
 
RAO TINGA
IMG-20220330-WA0029.jpg
 
deep state sio watu mzee,,,Lowasa walimfanya kama hivi walitangaza kwa fujo kura za kaskazini akawa anaongoza walipomaliza,wakahamia Lake zone ngome ya chama na serikali shughuli ikaishia huko.mpaka leo mzee hana hamu.[emoji23][emoji28]
Ruto kimemkuta kitu cha namna hiyo[emoji115]
Hivi unafananisha ule upumbavu na huu uchaguz wa kenya
 
Haya mambo ya urais kunahitajika nguvu ya ziada kukubali kushindwa.
 
Back
Top Bottom