Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Huoni wapo live wanatoa kulingana na IEBC?

Si umesema tusubirie majumuisho ya mwisho na matokeo rasmi? Ulihiji utofautu wa matokeo Kwa Sasa, licha ya kuniita mpunbavu nimekua maoni yangu. Tusubirie mwisho wa zoezi.
 
Wapi wameuliza matokeo ya uongo? Si wameuliza matokeo tofauti??
Matokeo tofauti maana yake nn? Au unafikiri uongo unatokana vipi? Kama yangekua na ukweli wangewezaje hata kuhoj?

HUNA AKILI
 
Mh.Wafula Chabukati, Mwenyekiti Wa IEBC ameongea muda mfupi uliopita pale Bomas na amefafanua mambo kadhaa.Kuhusu matokeo ya Urais form 34A ambazo zinatoka kwenye vituo vya kupigia kura zinakuwa uploaded kwenye public portal.Hivyo Kila mmoja anaweza kujumlisha Ila mshindi atatangazwa na tume yenyewe.
 
Si umesema tusubirie majumuisho ya mwisho na matokeo rasmi? Ulihiji utofautu wa matokeo Kwa Sasa, licha ya kuniita mpunbavu nimekua maoni yangu. Tusubirie mwisho wa zoezi.
Si nilikuaambia usubiri?
 
Matokeo tofauti maana yake nn? Au unafikiri uongo unatokana vipi? Kama yangekua na ukweli wangewezaje hata kuhoj?

HUNA AKILI
Mbona unakuwa mkali hivyo,sote tumeangalia mtangazaji akitoa sababu ya kwanini matokeo yako tofauti kwa kila Media,hakuna sehemu amesema ni "matokeo ya uwongo" kulikoni kuita wenzio hawana akili?
 
Mbona unakuwa mkali hivyo,sote tumeangalia mtangazaji akitoa sababu ya kwanini matokeo yako tofauti kwa kila Media,hakuna sehemu amesema ni "matokeo ya uwongo" kulikoni kuita wenzio hawana akili?
Kama Hana akili nisiseme? Unammjua huyo niliyemjibu?
 
So far more than 98% ya form ziko wazi kwa public ndo maana nayaamini matokeo ya Countrywide
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…