Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Source yako ni ipi mkuuLive Updates:
Ruto 5,289,045(52.4)
Raila 4,632,670(46.5)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Source yako ni ipi mkuuLive Updates:
Ruto 5,289,045(52.4)
Raila 4,632,670(46.5)
Nkikusahisha apate 25%+ kutoka kwa atleast county(majimbo) 24 na sio zote na total vote ya 50%+1Chebukati anasema hadi sasa ni more than 97% ya kura zimeishajulikana, na leo hawawezi tangaza matokeo wana siku saba za kufanya hivyo, na mshindi ni lazima apate 50%+1 na pia awe ameshinda 25% ya majimbo! na kwa mujibu wa Online Community Kenya, RAO ana kura 2,193,000+ na WISARU and 2,040,000+
Wewe mwehu wa CCM una uhakika hivyo ndivyo NTV walivyosema au umekurupuka huko na hiyo screenshot ukaweka maneno yako, hakuna sehemu NTV wamesema media kutofautiana figures basi maana yake matokeo ni ya uongo, grow up.NTV wanauliza kwa nn media zinatoa matokeo ya uongo?
View attachment 2320129
Mkuu Yani huko serious kabisa Raila atashinda? You guz are you pretending or what? I really don't understand your thinking capacity.Victoire naomba utie neno lako juu ya ushindi wa RAILA ODINGA
Na sio tu wameuliza, wameeleza ni kwanini wanatofautiana. Huyo Juha hana aliloelewa humo.Wapi wameuliza matokeo ya uongo? Si wameuliza matokeo tofauti??
Uniformity ndio inasababisha wizi. Kwa hapo Kenya walichofanya ni vizuri, kla mmoja atahesabu kura zake kisha watamsubiri IEBC kwa kutangaza matokeo ya mwishoHizi media za Kenya nazo nadhani zimekaa kisiasa sana,ukiangalia KTN, Citizens na KBC kila mtu anarusha matokeo yake tu......hakuna uniformity......wanachosha tu kwakweli
Sasa 52% +50%=102% huoni kuna tatizo hapo?inategemea results ni current kiasi gani. KBC wanasema Rutto 52%, Citizen Odinga 50%. Achana na matokeo ya social media nenda IBC
Nop ni 14+.Wametoka kusema muda si mrefuNi 12 milioni za watu waliopiga kura mkuu.
What a transparency???? Tunalakujifunza kwa Kenya kama nchi(Tanzania)Chebukati anasema social media wanatumia form 34S kutoa matokeo yao, fomu hizo hizo ndio nao wanatumia, hivyo ziko sahihi japo anasema social media ziko nyuma kidogo kwa sababu hadi sasa wao kama tume wameisha jumlisha 97% na matokeo wanayo....ila amesita kusema figure, so anasema social media waendelee tukoa matokeo ambayo pia kila mtu anaweza ku access kwa sababu yako kwenye public portal! what a transparect election in Kenya
Inategemea nani amerusha,most recent results. Lakini either way, Ruto anaongoza hadi sasa,kura zake zimezidi 2.5 million (52%).Hizi media za Kenya nazo nadhani zimekaa kisiasa sana,ukiangalia KTN, Citizens na KBC kila mtu anarusha matokeo yake tu......hakuna uniformity......wanachosha tu kwakweli
OkayInategemea nani amerusha,most recent results. Lakini either way, Ruto anaongoza hadi sasa,kura zake zimezidi 2.5 million (52%).
Ndio tunala kujifunza hasa...kama kura zinaweka katika public portal ambayo raia wanauwezo wa ku access na kujumlisha kura ni uwazi wa juu sana! Na wameweka vizuri tu..jumlisha hizo kura lakini don't declare a winner! hiyo sasa ni kazi yao!What a transparency???? Tunalakujifunza kwa Kenya kama nchi(Tanzania)
Hapana kwa sasa ambao wanarusha the most recent nadhani ni online Community KenyaInategemea nani amerusha,most recent results. Lakini either way, Ruto anaongoza hadi sasa,kura zake zimezidi 2.5 million (52%).
10% ya matokeo yaliyopo kwenye iebc portal10% ya nn?
Teh tehLive Updates:
Ruto 5,289,045(52.4)
Raila 4,632,670(46.5)