one b
JF-Expert Member
- Jun 30, 2017
- 1,483
- 3,727
Tujifunze nn kama mstaafu wenu ndio mwenyekiti wa uwangalizoWhat a transparency???? Tunalakujifunza kwa Kenya kama nchi(Tanzania)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tujifunze nn kama mstaafu wenu ndio mwenyekiti wa uwangalizoWhat a transparency???? Tunalakujifunza kwa Kenya kama nchi(Tanzania)
Gap la 119,000 ni kubwa sana Ruto Ruto Ruto upepo huu ni jatari kwako
Nipo hapa nakusubiri tu utimize ile ahadi yako.Mkuu Yani huko serious kabisa Raila atashinda? You guz are you pretending or what? I really don't understand your thinking capacity.
Pitia post #620 Rao anaongoza kwa 119,000Kwa hiyo Odinga ndo anaelekea kushindwa hivyo?
Kulingana na matokeo yanayo kuwa displayed kuna nafasi kubwa RAO is the fifth..... if things stands the way they are now huenda Ruto akarudi Sagoi!Kwa hiyo Odinga ndo anaelekea kushindwa hivyo?
Unajiamini sana kwa Ruto angalia usijepotea jf bado tunakuhitaji ewe mabangi wangu cc Mchome🤣🤣🤣Mkuu Yani huko serious kabisa Raila atashinda? You guz are you pretending or what? I really don't understand your thinking capacity.
Ngoja nikufafanulie Kidogo.Mkuu nimeangalia ntv hata mi sielewi ,nani yuko sahihi? Naona Citizen wapo nyuma
Mbona 2/3 ni bluu?Blue - majimbo ambayo raila anaongoza
Yellow - majimbo ambayo ruto anaongozaView attachment 2320155
Form za matokeo zina upload iwa kwenye website ya tume kwa hiyo media wanachofanya ni kujumlisha wenyeweHizi media za Kenya nazo nadhani zimekaa kisiasa sana,ukiangalia KTN, Citizens na KBC kila mtu anarusha matokeo yake tu......hakuna uniformity......wanachosha tu kwakweli
Upo sahihi sana,mi vimenivuruga mpaka nimeamua kutofuatilia tena.Kimsingi matokeo ilitakiwa kuwe na one source Kwa vyombo vyote vya habariHapa ndipo unapoona umuhimu kuvithibiti hivi vyombo vya habar maana mzaa mzaa inaweza leta taharuki na raia wakatifuana kwa kuamini kwamba wameibiwa kura
OkayForm za matokeo zina upload iwa kwenye website ya tume kwa hiyo media wanachofanya ni kujumlisha wenyewe
Hafii mtu hapaNipo hapa nakusubiri tu utimize ile ahadi yako.
Duh hujasahau [emoji1]Nipo hapa nakusubiri tu utimize ile ahadi yako.
Source moja ndio mwa zo wa kupika matokeo wacha kila chombo kiripoti mwisho wa,siku wata.Upo sahihi sana,mi vimenivuruga mpaka nimeamua kutofuatilia tena.Kimsingi matokeo ilitakiwa kuwe na one source Kwa vyombo vyote vya habari
Hapana.Kwa hiyo Odinga ndo anaelekea kushindwa hivyo?
Ni majimbo 26 out of 47Mbona 2/3 ni bluu?