Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Ruto anaongoza kwa asilimia 52 na Odinga 46 kwa mujibu wa mahesabu ya Daily Nation. Hali imekuwa tofauti kwani zile zilizotegemewa kuwa zitakuwa ngome za Odinga haikuwa hivyo na amepata ushindani mkubwa sana kutoka kwa Ruto.
Bomas ni wapi? Maana huko data zinaonesha Raila anaongoza... ninavyojua Bomas ni final control centre ya IEBC au nachanganya madesa?
 
Umeandika kishamba Sana, haya mazalau yenu sio mda yatakuja watokea puani, eti failed state ,YAKO tuiteje died state au
 
Ukweli upi umbwa wewe, baba yako condom moja tu ingetosha kutokutuletea Ibilisi kama wewe kwenye ulimwengu wa wastaarabu.
Niliwahi kusema ninawachukua madunya, Ila wewe ntaanza kukupenda si una mtaro mzuri? Basi sawa
 
Tuombe wa kenya ndugu zetu wasipigane mapanga kwasabb ata media houses zinegawanyika based on tribal and regional, zinaweza kua vyanzo vya uchochezi
Kenya wanaupika na kuukumbatia ukabila. Kama wanaruhusu Tv za kikabila kuruka hewani, nasikia wanaongea wanaweka THi Thi , sasa unakubali kuruhusu tv iongee lugha ambayo sio common kwa watu wote si watahamasishana uhasi kwa mafumbo ya lugha yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…