Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Bomas ni wapi? Maana huko data zinaonesha Raila anaongoza... ninavyojua Bomas ni final control centre ya IEBC au nachanganya madesa?
Kila source ina figures zake kulingana na wameshajumlisha ngapi. Hao IEBC ndiyo kwanza wanaanza kujumlisha japo wameshapata matokeo kutoka karibu sehemu zote
 
Ready for inauguration 🤣🤣🤣
IMG-20220810-WA0098.jpg
 
Back
Top Bottom