Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Hawa bado sana japo kidogo wanajitahidi.Zoezi la kuhesabu kura vituoni lilikamilika tangu jana lakini mpaka sasa matokeo bado
 
Mkenya mmoja alinisimulia kuwa OgingaOdinga baba yake na Raila waligombana na Jomo Kenyatta baba yake Uhuru.

Ikumbukwe wawili hawa walikuwa viongozi na marafiki wakubwa.

Baada ya ugomvi wao walilaaniana.

Oginga alimlaani Kenyata kuwa

1. Hatakaa Ikulu na kweli alikuwa hakai ikulu.
2. Haruhusiwi kuvaa viatu vya dukani. Hapo sijui kama ilitmia
3. Hatapanda ndege. Inasemekana mpaka anakufa hakupandaga ndege. Kifupi hakuwahi kwenda ng'ambo baada ya laana hiyo.

Kenyata alimlaani Oginga laana moja tu kuwa
" Watoto wa Odinga watakuwa maarufu sana ila hawatakuja kuwa ma(rais)".

Tafadhali mawe sihitaji ni maoni tu.
 
Mawazo huru lakini pootofu
 
That is shit, ukabila tu unawamaliza wakenya wala sio kingine, kama sio ukabila Dinga angekuwa white house siku nyingi sanaa
 
Back
Top Bottom