Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Yes,mchuano ni mkali but the house always win.Odinga atakuwa Rais wa 5 wa Kenya.Hakuna kitonga, mchuano ni mkali, Ruto sasa yuko mbele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes,mchuano ni mkali but the house always win.Odinga atakuwa Rais wa 5 wa Kenya.Hakuna kitonga, mchuano ni mkali, Ruto sasa yuko mbele.
Yaa ukisoma kile kitabu cha Jaluo Jinga utasikitika sanaKiufupi Mzee Oginga ndiyo alitakiwa kuwa Rais wa kwanza wa Kenya and by that time alikiwa maarufu kuliko mwanasiasa yoyote yule.Huruma yake dhidi ya Kenyatta ndio iliyomponza.
Ngoja ni wagoogle nisome historia zao. Mimi hata huyu Rogath Gachagua mgombea mwenza wa Ruto nilimfaham tu majuzi Ruto alivyomchagua. Na nikamkubali zaidi kwenye mdahalo wa gombea mwenza na Martha Karua.Mboya na Kariuki walikuwa mawaziri enzi za Jomo Kenyata. Walikufa vifo vya kutatanisha. Tom Mboya labda angekuwa Rais baada ya Kenyata. Huyu alikuwa very intelligent naona Kenyata aliogopa popularity ya Mboya. Ouko yeye alikufa kipindi cha Moi. Huyu nae mwili wake ulikutwa umechomwa moto kabisa.
😂😂😂😂 Mimi nimeweka kambi citizen tv...sitaki presha mie
Mboya alikuwa snitch,Kenyatta alimutumia kama toilet paper kukabiliana na Jaramogi kisiasa alijichimbia kaburi lake mwenyewe kwa uroho wake wa madaraka.Mboya na Kariuki walikuwa mawaziri enzi za Jomo Kenyata. Walikufa vifo vya kutatanisha. Tom Mboya labda angekuwa Rais baada ya Kenyata. Huyu alikuwa very intelligent naona Kenyata aliogopa popularity ya Mboya. Ouko yeye alikufa kipindi cha Moi. Huyu nae mwili wake ulikutwa umechomwa moto kabisa.
Kwenye mdahalo alikuwa natoa hoja za kitoto,bahati nzuri yule mother alizapangua vizuri.Ngoja ni wagoogle nisome historia zao. Mimi hata huyu Rogath Gachagua mgombea mwenza wa Ruto nilimfaham tu majuzi Ruto alivyomchagua. Na nikamkubali zaidi kwenye mdahalo wa gombea mwenza na Martha Karua.
Jana matha karua kapost mkono wake baada ya kupiga kura ....alooh umepauka huo😂😂😂😂wakenya wamemuomba anunue japo losheni awe anapaka ngozi inawiriAjitahidi kutumia mafuta kwenye hiyo miguu huyo jamaa. Utafikiri amepitia kwenye madimbwi ya maji machafu.☺️😂
Odinga ameshinda tayariiiiiii, poleeeeeeehJamani naombeni yeyote mwenye reliable source ya haya matokeo. I wish NTV updates are the correct one. Kwasababu moyo unapenda mbio. Ntafurahi Sana Ruto akiibuka mshindi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ashakua makamu wa Rais sahivi.Jana matha karua kapost mkono wake baada ya kupiga kura ....alooh umepauka huo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakenya wamemuomba anunue japo losheni awe anapaka ngozi inawiri
Siwezi na sijawahi kuwa mjinga. Mm ndio husaidia kuwakndolea watu ujinga kwa gharama sawa na bureToa wako kwanza,
Relax matokeo rasmi yatatangazwa na tume. Mimi nimeacha kuangalia media za kenya maana zinatoa mataifa kutokana na kambiJamani naombeni yeyote mwenye reliable source ya haya matokeo. I wish NTV updates are the correct one. Kwasababu moyo unapenda mbio. Ntafurahi Sana Ruto akiibuka mshindi
Povu lote hili sababu ya ukweli mchungu niliokupatia bureeNitamezaje mawazo na maandishi ya kishamba , hii inaonesha tz tulivyo na watu ovyo haitawai tokea, kizazi Cha makengeza kengeza hivi
Not really. Anaweza shinda jimbo ila ugavana ukapewa muwaniaji wa chama kingineHii ina maana ana magavana wengi pia?
Unaelewa maana ya portal?Hakuna kitu inaitwa "IEBC Portal" mkuu[emoji23][emoji23]
Hiyo akili ya kupata taarifa sehemu sahihi mnayo?Kwahiyo unatuona sisi mafala!!??
hatujui sehemu ya kutoa taarifa sahihi?
Mi nimechoka maana nimeona napoteza muda tu😂😂😂😂 Mimi nimeweka kambi citizen tv...sitaki presha mie
Sidhani.Odinga ameshinda tayariiiiiii, poleeeeeeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
duuuuh taarifa zinapishana itakuwa,,,mbona citizen inaonesha Ruto yupo nyumaOdinga anafumuliwa marynder.