Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Kiufupi Mzee Oginga ndiyo alitakiwa kuwa Rais wa kwanza wa Kenya and by that time alikiwa maarufu kuliko mwanasiasa yoyote yule.Huruma yake dhidi ya Kenyatta ndio iliyomponza.
Yaa ukisoma kile kitabu cha Jaluo Jinga utasikitika sana
 
Mboya na Kariuki walikuwa mawaziri enzi za Jomo Kenyata. Walikufa vifo vya kutatanisha. Tom Mboya labda angekuwa Rais baada ya Kenyata. Huyu alikuwa very intelligent naona Kenyata aliogopa popularity ya Mboya. Ouko yeye alikufa kipindi cha Moi. Huyu nae mwili wake ulikutwa umechomwa moto kabisa.
Ngoja ni wagoogle nisome historia zao. Mimi hata huyu Rogath Gachagua mgombea mwenza wa Ruto nilimfaham tu majuzi Ruto alivyomchagua. Na nikamkubali zaidi kwenye mdahalo wa gombea mwenza na Martha Karua.
 
Mboya alikuwa snitch,Kenyatta alimutumia kama toilet paper kukabiliana na Jaramogi kisiasa alijichimbia kaburi lake mwenyewe kwa uroho wake wa madaraka.
 
Ngoja ni wagoogle nisome historia zao. Mimi hata huyu Rogath Gachagua mgombea mwenza wa Ruto nilimfaham tu majuzi Ruto alivyomchagua. Na nikamkubali zaidi kwenye mdahalo wa gombea mwenza na Martha Karua.
Kwenye mdahalo alikuwa natoa hoja za kitoto,bahati nzuri yule mother alizapangua vizuri.
 
Jamani naombeni yeyote mwenye reliable source ya haya matokeo. I wish NTV updates are the correct one. Kwasababu moyo unapenda mbio. Ntafurahi Sana Ruto akiibuka mshindi
 
Odinga ameshinda tayariiiiiii, poleeeeeeeh

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jana matha karua kapost mkono wake baada ya kupiga kura ....alooh umepauka huo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakenya wamemuomba anunue japo losheni awe anapaka ngozi inawiri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ashakua makamu wa Rais sahivi.
 
Back
Top Bottom