Hapa Kuna kauongo
Itakuwa ni bonge la gundu, upewe back up na Rais na bado ushindwe...Odinga mbona ana angukia pua?
Nilitamani ashinde maana akishindwa sahivi atakuwa na nyota ya kushindwa Nasema Uongo Ndugu Zangu ?
Hatari sana😂Itakuwa ni bonge la gundu, upewe back up na Rais na bado ushindwe...