Anaacha kulilia shida zake za kuliwa na mbu, mazingira machafu yaliyojaa kipindu pindu, gharama kubwa za maisha na umaskini unaomkabili anamlilia Raila anayetoka kwenye Dynasties of zkenya!! Watanzania wengi ni viumbe wa hovyo sana.Duh
Eh eh aise
Ova
IEBCWee hizi source unatoa wapi??
Raisi keshajulikana ni Raila
Ikiwa hivyo nitafurahi sanaaaa, ila hata km akishindwa wampe tyuuh jaman na yeye aongoze hata muhula m1, namuonea huruma huyu mzee, hadi machozi yananilenga, bora ashinde uwiiiih.Nani amekwambia Raila anataka huruma!!??
He will win fairly and squarely
Hao bado wapo nyumaHii vipi kwani recently View attachment 2320536
Kura zimegota 670.............Rao mshindiHii very now nowView attachment 2320538
Nyie mumuache Odinga aongoze hata muhula 1, ametoka mbali, mumpe na yeye aridhike lol. Muoneeni huruma mzee wenu huyu.
Hata nikililia itabadilisha nn? Nyie mlio kuwa kwenye mzinga lambeni asali mtakavyo, tumeshawaacha mfaidi had mchoke,Anaacha kulilia shida zake za kuliwa na mbu, mazingira machafu yaliyojaa kipindu pindu, gharama kubwa za maisha na umaskini unaomkabili anamlilia Raila anayetoka kwenye Dynasties of zkenya!! Watanzania wengi ni viumbe wa hovyo sana.
Mumpe huyu mzee hicho kiti naye aongoze. Khaaaah.Huruma sio mojawapo wa kigezo, lazima udhihirishe kwanini tukupe maisha yetu kwa miaka mitano ijayo.....
Sonyo tu 😂😂😂Hata nikililia itabadilisha nn? Nyie mlio kuwa kwenye mzinga lambeni asali mtakavyo, tumeshawaacha mfaidi had mchoke,
Mtuache wengine tujifariji na vingine, kwanza mlisema tuhamie hata Burundi, ndo km hivi najikongojea Kenya. Mnaudhi sana nyie watu.
Mxxxxieeeeeeew!!!!!
Shost kuna watu wanaboa mnooo, yaan kanitibua hadi utumbo mpana unasinyaa na kutanuka bila mpangilio.Sonyo tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata nikililia itabadilisha nn? Nyie mlio kuwa kwenye mzinga lambeni asali mtakavyo, tumeshawaacha mfaidi had mchoke,
Mtuache wengine tujifariji na vingine, kwanza mlisema tuhamie hata Burundi, ndo km hivi najikongojea Kenya. Mnaudhi sana nyie watu.
Mxxxxieeeeeeew!!!!!
Wee baba samahani, naomba niache, usinitafutie Ban buree usiku huu. Hayo unayotaka ukifanya wee inatoshaa.Itabadilisha sana tu we unafikiri demokrasia ya Kenya unayoifurahia unafikiri ilikuja kwenye sahani kama ubwabwa?
Oh yeah hata kipindu pindu na mazalia ya mbu unalalamikia walamba asali?
Hivi unajua Raila anatokea kwenye Dynasties community..... sasa unamlilia ili iweje?
Yesu alisema jililieni ninyi na watoto wenu....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuwa busy kupalilia hizo nyasi na kufukia madimbwi ya hapo nyumbani kwenu. Ukimaliza lilia katiba mpya ili walamba asali wasikujibu jeuri ati uhamie Burundi.Wee baba samahani, naomba niache, usinitafutie Ban buree usiku huu. Hayo unayotaka ukifanya wee inatoshaa.
Nipo na buzzy na Mzee Raila, usinitibue kabisaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona uchaguz wa kwetu watu walikuwa haufuatili hivi [emoji1]Wee baba samahani, naomba niache, usinitafutie Ban buree usiku huu. Hayo unayotaka ukifanya wee inatoshaa.
Nipo na buzzy na Mzee Raila, usinitibue kabisaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I see Jaluo mwaka huu anavunja mwiko na kuchukua nchi.